Maswali ambayo Pascal Mayalla amemuuliza Tundu Lissu, nimeona ni muda sahihi Pascal ku-step down.!

Pascal amewahi kuendesha kipindi cha KITI-MOTO ambacho kilimpa umaarufu Sana

So na ukisoma makala zake za nyuma jamaa alikuwa very smart katika sehemu zote zinazohusu habari
 
Unafahamu uandishi?? Au umeamua tu kukurupuka na kumbagaza Pascal Mayalla ??

Nani kakuambia yale maswali hayana mantiki?
 
Masilahi ya Taifa gani anapigania? Wakati watoto wake na mkewe wako Belgium na wamepata uraia wa huko.

Naye Lissu mkialianziasha anakimbilia ubalozi wowote kisha wanampakia kwenye ndege kwenda kwa shoga yake Amsterdam
 
Mzee Pascal Mayalla say something
..
 
Mkuu, katika ile press, Mh. Lisu alikuwa kama vile ana toa darasa kwa waalikwa kuhusu " somo la Haki za Raia wa Tanzania kwa Mujibu wa Katiba ya yao"
 
Kati ya tasnia ambazo zipo hoi, na akili zao zimenyakuliwa na CCM, ni tasinia ya habari.

Wengi wameamua kuwa machawa. Na siku zote, hakuna chawa mwenye akili timamu. Kuwa chawa, ni lazima kichwani uwe umevurugika kwanza.
Hivi hawana umoja wao kama wanahabari ili waweze kujitetea pale wanapovamiwa na wenye hila za kuwaharibia heshima ya taaluma yao?
 
Maswali yote angeniuliza mimi badala ya Lissu mimi ningemjibu licha ya kuwa mimi ni mweupe kwenye siasa.

Huyo father maswali yalikuwa ya kitoto sana hadi nikakasirika.

Ila dakika ya mwisho nilimuelewa kwamba pale ni kama alikuwa mtu wa kujaribu kuweka vikwazo tu no matter ni kwa weledi au bila weledi ila awe tu kama disturbance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…