Maswali ambayo Pascal Mayalla amemuuliza Tundu Lissu, nimeona ni muda sahihi Pascal ku-step down.!

Masilahi ya Taifa gani anapigania? Wakati watoto wake na mkewe wako Belgium na wamepata uraia wa huko.

Naye Lissu mkialianziasha anakimbilia ubalozi wowote kisha wanampakia kwenye ndege kwenda kwa shoga yake Amsterdam
Mkuu, ukiona Members JF wana jadili mambo ya msingi kwa manuufaa ya Nchi na wewe unaona kabisa yapo juu ya uwezo wako, tafadhali pita tu polepole nenda tu Tiktok utawakuta wenye level yako.
 
Niliwahi kuandika mahali kuhusu ubora wa mtu unavyo pimwa.

Kwa sasa Paskal anaomgozwa na malengo yake kiuchumi na kisiasa na sio weredi kama hapo awali. Anapo yaendea haya yanaamua afanye Nini na aweupande gani. Paskal ameona akiwa Upande wa maslahi yake ambayo nimeyataja basi atakua bora.

Sisi tunapima weredi wa Paskal VS malengo yake.

Paskal akijitazama anajiona yeye ni bora anayofanya kuendea Malengo yake.Ila weredi unamkataa Paskal.

Utaona siku akipata nafasi kuuliza swali kwa viongozi wa Chama tawala.Hapo Ndio utajua Paskal amechagua upande gani.
 
Huyo ni miongoni nwa wapumbavu wachache wanaojali matumbo yao
 
Mkuu, ukiona Members JF wana jadili mambo ya msingi kwa manuufaa ya Nchi na wewe unaona kabisa yapo juu ya uwezo wako, tafadhali pita tu polepole nenda tu Tiktok utawakuta wenye level yako.
Unaweza wewe ndiyo ukawa na matatizo ya mtindio wa ubongo. Endeleeni kumsikiliza huyo, hamtoboi
 
Comrade Pascal Mayalla kama haya ndiyo maswali uliyomuuliza Mh. Tundu Lissu, basi naungana na mtoa mada; hapa ulipuyanga Comrade. Maana hayana uhusiano na harakati za kudai uwepo wa uchaguzi huru na wa haki.
 
Naunga mkono hoja huyo jamaa ni loophole hamna kitu kati wanahabari bangaifu huyo ni mmoja wao.

Huwezi kuwa mwanahabari na hapohapo chawa wa wanasiasa na hapohapo mwenyewe ni mgombea!

Shameless!!
 
Masilahi ya Taifa gani anapigania? Wakati watoto wake na mkewe wako Belgium na wamepata uraia wa huko.

Naye Lissu mkialianziasha anakimbilia ubalozi wowote kisha wanampakia kwenye ndege kwenda kwa shoga yake Amsterdam
Wewe jeshini ulienda kula ugali tu
 
Mimi binafsi sijawahi muona kama ni critical thinker kupitia tu nyuzi zake za hapa jamiiforum ni wakawaida sana

Kuna mambo mengi sana kama mwandishi wa habari anachapia ilihali anatakiwa ajue
 
A step down ili afanye nini

You may choose to ignore him mkuu
 
Paschal anaifanyia kazi vizuri taaluma yake. Lakini ipo shida kwa waandishi wengi. Mara nyingi hawaulizi maswali wala kujenga hoja za kutatua kero za wananchi.
 
Mama kutumia muda wake kwenda kumtembelea ni upendo na utu mkubwa sana. Mayalla amekosea nini, mengine ni mtazamo wako ukizingatia uko kinyume sana na hii serikali. Paschal awe na msimamo haiwezekani uikosoe CCM mara pap unataka utumie tiketi yake kupata uongozi. Paschal awe na msimamo awe mjanja.
 
mayalla
 
Shida ni kwamba watu wengi wanahisi chadema chini ya lisu kwamba wanadili na mtu.
Siasa ya chadema ni against mfumo mbovu wa serikali,ambapo mmiliki wa mfumo ni wananchi ambao ndo wenye uwezo wa kuubadilisha.
Sasa kuleta huruma za mtu kuja kukuona alafu taifa liachwe liangamie huo ni ujinga ambao Chadema hawautaki.
 
Kwahiyo alivyomuuliza maswali Magulufuli alijijengea heshima ila alivyomuuliza maswali lisu kajivunjia heshima?
Hebu soma tena uzi, swali lako litajijibu lenyewe through this thread.

Anyway, popote nikimuonaga Balile yupo huaga najua, hapo hakuna kitu. Jamaa nilimdharau sana kipindi cha sakata la Richmond/Dowans yeye na wenzake walivo mwitaga Dr. Harrison Mwakyembe, maswali aliokua akimuuliza Mwakyembe nikajua jamaa hana cha uzalendo wala kitu gani, watu wa type yake ni hawana uchungu na nchi hata chembe, wapo tayari hata kuona bongo inaangamia lakini wao wakiwa salama, so sishangai kwa hili linalo mshangaza mleta uzi. I think ndio maana watu wakini kwasasa wakitaka habari za kweli na uhakika, wanajikita kwenye social media na sio media rasmi kama magazeti, radio na TV, hakuna kitu kule, wahariri wao ndio hawa wanao ukerwa na personalities and not issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…