Maswali fikirishi kuhusu Ubongo wa mwanadamu

HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
2,238
Reaction score
1,577
Habari wanajf!
Ndugu zangu,sisi wengine elimu zetu za STD 7 lakini hazituzuii kufikiri kuliko kawaida.Wanasayansi njooni hapa 'mtupakulie' maajabu ya huu ubongo kama ifuatavyo:
1.Kitendo cha mtu kuitwa mpaka anaitika kinachukua muda mfupi mno;yaani papo kwa papo.Je,kuna shughuli ngapi zinafanyika kwenye ubongo kutoka mtu kuitwa mpaka kuitika?
2. (a)Je,ni sehemu gani ya ubongo inahusika na mtu kusinzia au kulala kabisa?
(b)Je,mchakato kwenye ubongo mpaka mtu anasinzia au kulala unakuaje?
3.Ubongo una uwezo mkubwa wa kuhisi na kuhifadhi harufu za vitu mbalimbali mf. matunda.
(a)Je,ipo kompyuta yoyote duniani yenye uwezo wa kuhisi na kuhifadhi harufu ya vitu na hali mbalimbali kama ilivyo mwanadamu? Maana unaweza kukaa mahali mtu akapita na beseni la matunda na bado kwa harufu tu ukatambua kwenye beseni kuna matunda gani.Kompyuta ya namna hiyo ipo?
(b)Kama hakuna kompyuta ya namna hiyo,hatuoni kwamba ni moja ya ushahidi kwamba hakuna kompyuta wala chombo chochote chenye uwezo zaidi au kufanana na ubongo?
Karibuni wanasayansi!
 
Ntajibu maswali yako mengine yote kwa kua ni interesting na majibu yake ninayo.. Ila napenda nianze na hilo la tatu kwa sababu computers fascinate me than anything else.

Computer inaweza kutambua harufu, ila kabla hatujaenda inatambuaje harufu labda nikueleze kidogo computer imeundwaje kwa undani kidogo sana japo ntaacha mambo mengi kwa kua ni vitu vinaweza kukuchanganya viko very complex.

Kuna kitu kinaitwa "binary digits" hizi ni namba 0 na 1. Kila computer au logic device yoyote duniani, inatambua hizi namba mbili peke yake, picha zote unazoona kwenye monitor, maneno yote unayoandika kwenye keyboard, miziki, video, movies, messages e.t.c, vyote hivi kiundani ni information ambayo inatunzwa kama 0 au 1 peke yake.

Kama kwenye switch 0 inamaanisha off, na 1 inamaanisha On, kwenye 0 na 1 unaweza kurepresent namba nyingi, watu wa kawaida huhesabu 0,1,2....9 na kurudi 10, 11... kwenye computer tunahesabu 0, 1, 10, 11, 100, 101, 110, 111 sijui kama umeona pattern hapo, kama 4 ya decimal, kwenye binary ni 100, 5 - 101, 6 - 110...... Ndani ya computer kuna vidude vidogo sana vinaitwa transistors, kama kwenye processor yako vinaweza kua hata bilioni vimejazana, vyenyewe kazi yake hasa ni kuwa on (1) au kua off (0) basi, Hizi transistors ndio building blocks za computer na logic device zote dunia nzima. Sasa kujua calculations zinafanyika vipi huko ndani sitoonglea maana hadi hapa naweza kua nshaanza kukuchanganya ila ukiitaka kujua uniulize.

Sasa nikupe mfano hizi namba zinageukaje hadi unaweza kuona kitu kwenye computer, chukulia mfano wa monitor yako, kuna pixels nyingi ndogondogo, hizi ndizo zinazobadilika rangi hadi unaweza kuona maandishi au kitu chochote unachoona kwenye screen, kila pixel inatoa rangi flani, sasa computer yenyewe nilisema inatambua namba peke yake, hata rangi pia ziko represented in numbers, kumbuka rangi nyeupe inatokana na muunganiko wa red, green na blue, nyeusi maana yake hakuna rangi, rangi nyingine za katikati zinatokana na mchanganyiko wa hizi rangi tatu (RGB), computer inatunza rangi katika namba, RGB, mfano nyeupe ni 255-255-255, maana yake umechanganya red,green na blue katika range sawa (255), tukija 255-0-0, hiyo ni red, kwa kua red ina 255 ila green na blue ni 0, 255-255-0 hiyo ni yellow (red na green 255 ila blue 0).... Kwa hiyo computer yenyewe inatuma tu signal kwenye monitor, hiyo signal ichukulie kama namba, monitor inafanya calculations inatoa hiyo rangi inayotakiwa kama mfano niliokupa.

Sasa turudi kwenye harufu, Computer inapata data za nje kutokana na sensors mbalimbali, picha toka kwenye camera, sauti kwenye mic, joto kwenye digital thermometer e.t.c, ila vyote hivi vikiingia kwenye computer narudia data zake zinatunzwa kama 0 au 1, digital thermometer ikisoma joto degree 20, inaweza pitisha data kama 10100.
Harufu nayo data zake zinatunzwa hivohivo, kunakua na sensor, kama ya harufu wanaiita e-nose, yenyewe inaangalia chemical composition ya harufu, inasoma pattern yake alafu inatunza hiyo pattern katika binary.. Ukiiiweka kwenye harufu tofauti, itafanya process hiyohiyo, tuseme mfano harufu A inatunzwa kama 100001, harufu B inatunzwa kama 111100, hiyo sensor ukiipitisha tena kwenye harufu A, pattern itarudi ileile ya 100001, kwa kua tushaiambia computer kua ukiona 100001 hiyo ni harufu A, basi computer itakujibu kua ni harufu A ila in reality haina akili kua inajua harufu, inarudisha hilo jibu kwa kua tumeiambia tu kua ukiona 100001 we sema harufu A, haijui harufu ni nini.

Ukiwa unaiangalia computer, usifikirie ina akili kama binadamu, yenyewe ni switch tu ambazo ziko either on au off, kutokana na hizo switch sisi ndio tunafanya kitu kinaitwa "abstraction" tunacommand kua ukiona kitu flani fanya kitu flani, haiwezi kwenda tofauti na tulivyosema, haina akili ya kujiamulia.

Sasa hivi tulipofikia kwenye technology, bado computer ina shida kutambua kua huyu ni mtu, au hili ni gari, kumbuka kila kitu ndani ya computer ni namba 0 au 1, kuchukua picha ya mtu, zile rangi ukasema ubadilishe uweze kutambua kua huyu ni binadamu, hesabu za hapo sio za kitoto, ni research imeendelea kwa miaka zaidi ya 40, ingawa inajitahidi kidogo siku hizi ila still haiko accurate. Kwa mambo mengine computer inaweza kazi vizuri mno kuliko hata binadamu, ukiambia kitu yenyewe itafanya exactly kama ulivyoiambia.

Pole kwa maandishi marefu, nimetafuta lugha rahisi zaidi kuelezea hili nimeshindwa, ingekua mtu wa computer ningeweza kumuelezea kwa ngeli na kiundani zaidi. Ila i hope umetoka na kitu angalau cha juu juu.
 
Nashukuru sana ndugu yangu kwa ufafanuzi wako makini na mahiri,Nimejifunza mengi tu hapo.Ila kuna mahali naomba unipe ufafanuzi zaidi.Umesema kwamba kompyuta inafanya kazi kuliko mwanadamu kwa sababu ukiielekeza kitu inafanya kama inavyotakiwa;sasa huoni tayari hayo ni mapungufu makubwa kwamba ni mpaka ielekezwe na wakati mwingine uiwashe kama imezimwa ilhali ubongo wa mwanadamu unafanya kazi pasina kuelekezwa?
 
Kila kitu kina ubora wake na mapungufu yake, computer ofcoz haiwezi kufikia binadamu kifikra kwa kua haifikirii, inafanya inachoamrishwa tu, kuna limits ambazo computer haiwezi fika, lakini inachozidi ubongo wa binadamu kwanza angalia kwenye kusolve mfano namba, computer kucalculate namba kubwa ni kitendo cha milliseconds, hesabu ambayo inaweza mchukua binadamu masaa hata kumi computer ina uwezi wa kuifanya ndani ya sekunde moja, japo ndio hata njia ya kusolve bado imeelekezwa na binadamu vilevile, kwa hiyo ione kama machine tu tunayoitumia kurahisisha kazi zetu.

Ubongo wa mwanadamu uko kama ulivyo sababu ya past experiences, kila kitu ulichopitia toka umezaliwa ndicho kinachokudefine wewe kama mtu, na ndicho kinachopelekea ufanye matendo unayoyafanya leo, kumbuka kila unachokiexperience kinatunzwa sehemu kwenye ubongo wako, computer nayo ni hivo hivyo, inatoa response kulingana na data ambazo inayo, tofauti ni yenyewe inatunza data katika form ya namba tu.

Narudia computer usiilinganishe na mwanadamu, sio kiumbe kile haina ubongo wa kuweza kufanya maamuzi, ni kama mashine nyingine yoyote inafanya kitu ambacho tunataka ifanye, ni kama toroli tunatumia kubeba mizigo, halitoweza kukugeuka likakubeba hata siku moja.
 
Mkuu ubongo wa binadamu unasolve hesabu mara Gogol ya ujuavyo wewe siyo kweli ety ubongo wako unazidiwa na komputer katika hesabu.chukulia mfano umeona mkia wa paka wako within millisecond unakuwa umeshagundua kuwa ule mkia ni wa paka wako..ile ni calculation ya hali ya juu imetumika pale katika speed ambayo ni mara trillion na hiyo computer.ni kwa taarifa tu kaka angu computer ambayo inaaminika ndo ina uwezo wa hali ya juu kabisa inazidiwa uwezo na ubongo wa inzi mara 10000
 
Mbongo usichanganye mambo, alafu usije na speculations zako huku huna hata simple idea computer inaprocess vipi information, we unauhakika unaweza kuishinda computer calculations?

Kukosekana efficient algorithms ambazo zinadeal na computer vision kutambua kua object flani ni kitu fulani haimaanishi ubongo unafanya more calculations than human, it simply means we process information differently.

Usikae kuniambia kwa taarifa yangu ati the top notch machine inazidi nzi mara 10K, ninafahamu computer vizuri zaidi ya uijuavyo wewe, huu ubishi wa jf watu msio na idea mnachokiongea hua siupendi.

Nenda fanya calculations kwa kichwa kujua the exact position ya satellite, exact angle, exact speed at each milliseconds ikiwa inazunguka dunia uniambie kama utashindana na computer ambayk inakufanyia hiyo calculation in milliseconds, wewe hadi ushike kalamu na karatasi hadi unamaliza kucalculate moja computer ishakuletea results zaidi ya milioni..
Au uwekewe ramani ya jiji upewe stations 200 uambiwe tafuta njia fupi kutoka sehemu A00 kwenda sehemu Z00 uone itakavokuchukua siku nzima, computer itarudisha jibu kwa sekunde.

Na kama bado ni mbishi sana kwa kua wanaJF ndivyo mlivyo, nikupe hesabu alafu niandike computer algorithm ya kufanya hiyo hesabu alafu tukushindanishe wewe na computer tuone. Swali jepesi tu hata nisiende mbali, nakupa squares 500 zenye length na width tofauti, nataka unirudishie area ya kila square, formula ya area ni length x width, wewe zidisha kwa kila square hadi unafika square la 500 itakua giza lishaingia, computer itafanya yote haya na kunipa jibu chini ya sekunde moja.
 
Wewe unajua moja 1 ya trillion 1 ya computer science bro trust me hujui ka unavyoamini wewe you should note that to simulate 1 human brain activity it need 82944 processors.

complex biological computing device that even the fastest supercomputers in the world fail to emulate. Well, that?s not entirely true anymore. Researchers at the Okinawa Institute of Technology Graduate University in Japan and Forschungszentrum J?lich in Germany have managed to simulate a single second of human brain activity in a very, very powerful computer.

This feat of computational might was made possible by the open source simulation software known as NEST. Of course, some serious computing power was needed as well. Luckily, the team had access to the fourth fastest supercomputer in the world ? the K computer at the Riken research institute in Kobe, Japan.

Using the NEST software framework, the team led by Markus Diesmann and Abigail Morrison succeeded in creating an artificial neural network of 1.73 billion nerve cells connected by 10.4 trillion synapses. While impressive, this is only a fraction of the neurons every human brain contains. Scientists believe we all carry 80-100 billion nerve cells, or about as many stars as there are in the Milky Way.

Knowing this, it shouldn?t come as a surprise that the researchers were not able to simulate the brain?s activity in real time. It took 40 minutes with the combined muscle of 82,944 processors in K computer to get just 1 second of biological brain processing time. While running, the-simulation-ate up about 1PB of system memory as each synapse was modeled individually.

The neurons were arranged randomly, and the short time scale makes the practical applications minimal. This project was intended to prove our capacity to model biological systems has reached a critical juncture.-Science-can finally describe a sufficiently complicated system to model the brain.

Sure, this takes unbelievable mountains of computing resources now, but that?s been the case with every problem computer science has tackled since the days of vacuum tubes. At first, only the fastest computers on Earth could play chess or render 3D graphics, but not anymore.

Computing power will continue to ramp up while transistors scale down, which could make true neural simulations possible in real time with supercomputers. Eventually scientists without access to one of the speediest machines in the world will be able to use cluster computing to accomplish similar feats. Maybe one day a single home computer-will be capable of the same thing.

Perhaps all we need for-artificial intelligenceis a simulation of the brain at least as complex as ours. That raises the question, if you build a brain, does it have a mind? For that matter, what happens if you make a simulated brain MORE complex than the human brain? It may not be something we want to know.
 
Wewe unajua moja 1 ya trillion 1 ya computer science bro trust me hujui ka unavyoamini wewe you should note that to simulate 1 human brain activity it need 82944 processors.

Perhaps all we need for-artificial intelligenceis a simulation of the brain at least as complex as ours. That raises the question, if you build a brain, does it have a mind? For that matter, what happens if you make a simulated brain MORE complex than the human brain? It may not be something we want to know.

Mkuu tafadhali usinipotezee muda, maana naona unacopy na kupaste articles tu online ambazo hujui hata zina maana gani. Em nenda kasome, alafu pitia juu vizuri soma mleta mada kauliza nini na nilichokijibu ujaribu kuelewa tunaongelea nini maana naona umekaa kiubishi. Tatizo kubishana na mtu ignorant asiye na idea hata kidogo ya how things operate ndio hii, atacopy na kupaste tu hata vitu ambavyo sio related.

Watu kama wewe ndio sababu nachukia hii section ya tech siku hizi. Mnadharau sana, kujua kwako ku-google na kusoma article mbili tatu unajihisi ushakua expert, yaani unajiona ka unaweza implement an entire processor architecture vile, alafu swali langu nililokuuliza jepesi tu paragraph yangu ya mwisho naona umelikimbia.

Nenda kasome tusipotezeane mida. Tufanye umeshinda basi we mjuaji.
 
Mkuu hata siku moja computer hawezi uzidi ubongo wa binadamu hata 1/100000000.sijakaa huo uwezo wa hiyo computer ila usi compare na ubongo wa binadamu kabisa.alafu kwenye mijadala ka hii punguza lugha ya ukali usiwe much know sanaaaaaaaaaaaa unalalamika lalamika tu hata stive job hakuw hvyo
 
We ovyo sana jamaa, soma pale juu nilichosema, hukumaliza nilichoandika ukakurupuka kujibu.
Ngoja nicopy na kupaste uone nilichoandika, nilijibu hivi

"Narudia computer usiilinganishe na mwanadamu, sio kiumbe kile haina ubongo wa kuweza kufanya maamuzi, ni kama mashine nyingine yoyote inafanya kitu ambacho tunataka ifanye, ni kama toroli tunatumia kubeba mizigo, halitoweza kukugeuka likakubeba hata siku moja."

pitia juu pale utaona hilo jibu nimemjibu vizuri kabisa mleta mada na kumpa tofauti ya ubongo na computer, sasa wewe umekuja na kuanza ubishi wa kijinga alafu sasa hivi unakuja kuongelea mambo niliyokwisha yaongelea pale juu. Mbona unahamahama sana mada? Ubishi wetu wa kwanza ulikua kuhusu computer kufanya calculations faster kuliko ubongo wa binadamu, hiyo ndio ilikua argument, sasa umeona umeshindwa unaanza kukimbilia kujaribu kucompare artificial intelligence na human brain kitu ambacho mimi mwenyewe pale juu nilijibu kua hadi sasa hivi bado tupo nyuma sana, unajaribu kuonyesha kama nilijibu tofauti wakati majibu yangu yako pale juu.

Mtu ka wewe siwezi kukuchukulia poa sababu ni kilaza na mvivu, unalazimisha ubishi hata ambapo hapatakiwi kua na ubishi kazi kukwepakwepa tu ukiishadakwa, potelea mbali mjuaji, kama ulishindwa kunijibu kitu hata kimoja usinipotezee muda. Nina mambo ya msingi kuliko kujibishana na keyboard warrior.
 
Ntajibu maswali yako mengine yote kwa kua ni interesting na majibu yake ninayo.. Ila napenda nianze na hilo la tatu kwa sababu computers fascinate me than anything else.

Computer inaweza kutambua harufu, ila kabla hatujaenda inatambuaje harufu labda nikueleze kidogo computer imeundwaje kwa undani kidogo sana japo ntaacha mambo mengi kwa kua ni vitu vinaweza kukuchanganya viko very complex.

Kuna kitu kinaitwa "binary digits" hizi ni namba 0 na 1. Kila computer au logic device yoyote duniani, inatambua hizi namba mbili peke yake, picha zote unazoona kwenye monitor, maneno yote unayoandika kwenye keyboard, miziki, video, movies, messages e.t.c, vyote hivi kiundani ni information ambayo inatunzwa kama 0 au 1 peke yake.

Kama kwenye switch 0 inamaanisha off, na 1 inamaanisha On, kwenye 0 na 1 unaweza kurepresent namba nyingi, watu wa kawaida huhesabu 0,1,2....9 na kurudi 10, 11... kwenye computer tunahesabu 0, 1, 10, 11, 100, 101, 110, 111 sijui kama umeona pattern hapo, kama 4 ya decimal, kwenye binary ni 100, 5 - 101, 6 - 110...... Ndani ya computer kuna vidude vidogo sana vinaitwa transistors, kama kwenye processor yako vinaweza kua hata bilioni vimejazana, vyenyewe kazi yake hasa ni kuwa on (1) au kua off (0) basi, Hizi transistors ndio building blocks za computer na logic device zote dunia nzima. Sasa kujua calculations zinafanyika vipi huko ndani sitoonglea maana hadi hapa naweza kua nshaanza kukuchanganya ila ukiitaka kujua uniulize.

Sasa nikupe mfano hizi namba zinageukaje hadi unaweza kuona kitu kwenye computer, chukulia mfano wa monitor yako, kuna pixels nyingi ndogondogo, hizi ndizo zinazobadilika rangi hadi unaweza kuona maandishi au kitu chochote unachoona kwenye screen, kila pixel inatoa rangi flani, sasa computer yenyewe nilisema inatambua namba peke yake, hata rangi pia ziko represented in numbers, kumbuka rangi nyeupe inatokana na muunganiko wa red, green na blue, nyeusi maana yake hakuna rangi, rangi nyingine za katikati zinatokana na mchanganyiko wa hizi rangi tatu (RGB), computer inatunza rangi katika namba, RGB, mfano nyeupe ni 255-255-255, maana yake umechanganya red,green na blue katika range sawa (255), tukija 255-0-0, hiyo ni red, kwa kua red ina 255 ila green na blue ni 0, 255-255-0 hiyo ni yellow (red na green 255 ila blue 0).... Kwa hiyo computer yenyewe inatuma tu signal kwenye monitor, hiyo signal ichukulie kama namba, monitor inafanya calculations inatoa hiyo rangi inayotakiwa kama mfano niliokupa.

Sasa turudi kwenye harufu, Computer inapata data za nje kutokana na sensors mbalimbali, picha toka kwenye camera, sauti kwenye mic, joto kwenye digital thermometer e.t.c, ila vyote hivi vikiingia kwenye computer narudia data zake zinatunzwa kama 0 au 1, digital thermometer ikisoma joto degree 20, inaweza pitisha data kama 10100.
Harufu nayo data zake zinatunzwa hivohivo, kunakua na sensor, kama ya harufu wanaiita e-nose, yenyewe inaangalia chemical composition ya harufu, inasoma pattern yake alafu inatunza hiyo pattern katika binary.. Ukiiiweka kwenye harufu tofauti, itafanya process hiyohiyo, tuseme mfano harufu A inatunzwa kama 100001, harufu B inatunzwa kama 111100, hiyo sensor ukiipitisha tena kwenye harufu A, pattern itarudi ileile ya 100001, kwa kua tushaiambia computer kua ukiona 100001 hiyo ni harufu A, basi computer itakujibu kua ni harufu A ila in reality haina akili kua inajua harufu, inarudisha hilo jibu kwa kua tumeiambia tu kua ukiona 100001 we sema harufu A, haijui harufu ni nini.

Ukiwa unaiangalia computer, usifikirie ina akili kama binadamu, yenyewe ni switch tu ambazo ziko either on au off, kutokana na hizo switch sisi ndio tunafanya kitu kinaitwa "abstraction" tunacommand kua ukiona kitu flani fanya kitu flani, haiwezi kwenda tofauti na tulivyosema, haina akili ya kujiamulia.

Sasa hivi tulipofikia kwenye technology, bado computer ina shida kutambua kua huyu ni mtu, au hili ni gari, kumbuka kila kitu ndani ya computer ni namba 0 au 1, kuchukua picha ya mtu, zile rangi ukasema ubadilishe uweze kutambua kua huyu ni binadamu, hesabu za hapo sio za kitoto, ni research imeendelea kwa miaka zaidi ya 40, ingawa inajitahidi kidogo siku hizi ila still haiko accurate. Kwa mambo mengine computer inaweza kazi vizuri mno kuliko hata binadamu, ukiambia kitu yenyewe itafanya exactly kama ulivyoiambia.

Pole kwa maandishi marefu, nimetafuta lugha rahisi zaidi kuelezea hili nimeshindwa, ingekua mtu wa computer ningeweza kumuelezea kwa ngeli na kiundani zaidi. Ila i hope umetoka na kitu angalau cha juu juu.

daa hizi movie kama transformer,avenger,xmen zinazungumzia mashine kujakuwa conscious. Kwamba siku moja labda zitakuja kujiongoza zenyewe ziwe zinajitengeneza, zenyewe, ziwe zinazalisha mashine nyingine zenyewe.. Mh kwa upande naona computer zimekuwa smart,intelligent sana zinasensi, zinatambua sauti
 
Nasikia kuna viumbe vinaitwa alliens wana akili mbaya
 
Tunazidiwa na viumbe vingine vitu vingi ila sisi ndo tunafull package yana tumebalance vitu vyema, mfano polo nanatuzidi kuproces sauti, mwewe anatuzidi kuprocess picha nyani anatuzidi agility na nguvu sisi sehemu yetu ya ubongo inayotumika kufikili na kusolve matatizo imedevelope vizuri zaidi ndo maana tuko hivi
 
Mkuu hata siku moja computer hawezi uzidi ubongo wa binadamu hata 1/100000000.sijakaa huo uwezo wa hiyo computer ila usi compare na ubongo wa binadamu kabisa.alafu kwenye mijadala ka hii punguza lugha ya ukali usiwe much know sanaaaaaaaaaaaa unalalamika lalamika tu hata stive job hakuw hvyo
We jamaa ni m-bishi na pia sio muelewa...walimu wako wanapata/walipata tabu sn wakati wakiwa kwenye harakati za kukutoa katika dimbwi la ujinga!
 
Mkuu tafadhali usalichouda, maana naona unacopy na kupaste articles tu online ambazo hujui hata zina maana gani. Em nenda kasome, alafu pitia juu vizuri soma mleta mada kauliza nini na nilichokijibu ujaribu kuelewa tunaongelea nini maana naona umekaa kiubishi. Tatizo kubishana na mtu ignorant asiye na idea hata kidogo ya how things operate ndio hii, atacopy na kupaste tu hata vitu ambavyo sio related.

Watu kama wewe ndio sababu nachukia hii section ya tech siku hizi. Mnadharau sana, kujua kwako ku-google na kusoma article mbili tatu unajihisi ushakua expert, yaani unajiona ka unaweza implement an entire processor architecture vile, alafu swali langu nililokuuliza jepesi tu paragraph yangu ya mwisho naona umelikimbia.

Nenda kasome tusipotezeane mida. Tufanye umeshinda basi we mjuaji.
Mkuu nakushauri uachane naye,hata haelewi unachokiongelea hata hicho alichokicopy hakielewi
 
mkuu hayo maswali yanajibika ila ni ngumu kuanza kueleza moja moja hasa kwa sijui unauelewa gani juu ya Ubongo, hayo ya computer umejibiwa vizuri ni mambo ya logic gates, sasa hayo mengine ingia google andika "Human Brain Anatomy" unaweza pata maelezo marefu ila ngeli iwe inapanda.
 
Back
Top Bottom