Nashukuru sana ndugu yangu kwa ufafanuzi wako makini na mahiri,Nimejifunza mengi tu hapo.Ila kuna mahali naomba unipe ufafanuzi zaidi.Umesema kwamba kompyuta inafanya kazi kuliko mwanadamu kwa sababu ukiielekeza kitu inafanya kama inavyotakiwa;sasa huoni tayari hayo ni mapungufu makubwa kwamba ni mpaka ielekezwe na wakati mwingine uiwashe kama imezimwa ilhali ubongo wa mwanadamu unafanya kazi pasina kuelekezwa?
Labda nikusaidie kidogo.
Tukija katika process ya mtu kuitwa hadi kuitika huchukua muda mfupi. Sio hilo tu, kuna matendo mengi sana, kama jicho kujifumba haraka ipitapo kitu karibu yake, au kuachia kitu cha moto haraka, HAYA YANAKUWAJE??
Ubongo na mwili mzima unafanya kazi kwa kushirikiana mifumo ya fahamu, yaani viungo tambuzi, vinatambua mabidiliko ya nje na ndani ya mwili.
Hiwe ni joto, baridi, presha , mguso, harufu au hata badiliko la sauti.
Ubongo kiujumla huratibu taarifa zote na miitikio kwa kodinesheni ( yaani kufanya mwili mzima kuwa kama kiungo kimoja )
Kiungo husika , mfano sikio likigundua kuna badiliko la sauti, au kuna saut imesikika, baasi huandaaa taarifa haraka , ambayo husafiri kama umeme kupitia neva. Na hii upokelewa na sehemu maalumu katika ubongo, nao hutoa matekeo kwa njia ya meseji umeme kwenda sehemu husika kwa uharaka zaid.
Jibu lako, ni taarifa hizi husambazwa kwa njia ya umeme na mwitikio hupokelewa kwa njia ya umeme, kupitia neva za fahamu (Neva ni seli maalumu zinazo safirisha taarifa kama umeme ).
_______ ,_________________________________
Kompyuta, imegeza vitu vingi kama utendaji wa ubongo lakini imekosa maaumuzi ( Ndio maana huitwa DUMB MACHINE )
Ubongo ni hai , una huwezo wa kujipooza, kuji repair, na kujiweka sawa, pia kuendana na mazingira ( ndio maana hata unaweza kaa macho siku mbili bila kulala, lakini huwezi huitwa AMINA wakati wew ni James ukaitika )
Kompyuta haiwezi hivi, lazima iongozwe katika kazi zake na hata kujilinda piaa.
Kuhusu harufu kuna kitu kinaitwa conditioned reflex action ( matendo au mwitokeo wa mazoea )
Yaani ubongo huweza kuhusianisha harufi,sauti, kivuli, maumbile na kitu fulani kwa mazoea. Lakini sio kila muda huwa sahihi
Mfano unaweza ona kivuli kikubwa ukapata hisia na kujua anaye kuja ni bonge la mtu, kumbe ni kajitu kadogo tu.
_ , , _______________________////_/
Ubongo unauwezo wa vitu vingi sana, ila hatu tumiiii ipasavyo (tunafanya UNDER UTILISATION) hapa ndio unaambiwa binadamu pekeee aliyeweza tumia ubongo wake kwa 10% tu ni NEWTON, Hasa fatilia aliyo yafanya huyu mtu halafu unaambiwa hiyo ni 10%.
Ubongo una mengi sana.