Maswali fikirishi kuhusu Ubongo wa mwanadamu

pumbavu zako acha kukopy paste, mwenzio anashuka mistari ya computer kwa kiswahili had sisi was Chamwino tumemuelewa...msh*nzi ww uckute mwenzio ndo mwajiri wako pale Vodacom halafu umepewa internship unajifanya kujua zaidi. shusha madude kwa kiswahili km unajua. ms*enge kweli
 
achaga ufala. umeshindwa kwenda hats YouTube kuona zinavyotengenezwa? sasa kwa ufupi iko hivi: kuna wafanyakazi km ww (animators, modellers, designers, editors n.k.) wanaamka asubuh kwenda kazini mfano MGM au Desney...kazi yao ni kuload data (clips) zilizochukuliwa na cameramen waliokuwa location...ambao kazi yao ni kushoot actors walio mbele kitambaa cha kijani (green screen)...ambao kazi yao ni kuigiza movements, maongezi, matendo (kwa muvi za action k.v. Iron Man basi actor atafungwa kamba na kuchezeshwa angani)...kampuni km Desney zinajitengenezeaga software zake zenyewe kwaajili ya Editors na Animators kufuta zile kamba, kureplace yule actor na limnyama km godzilla au avatar, sio Photoshop wala After Effects aisee, hizi ni zenu nyie mlio kwny maTV na watengeneza video za kina Diamond na Alikiba. UMENIPATA WE FALA*?
 


mi nadhani huyo jamaa ubishi anaobisha unatokana na kulinganisha tu assumption tofautitofauti za article za watu...

mimi kwa upande wangu naamini komputer kwakuwa imetengezwa na binadamu na jukumu lake kubwa ni kurahisisha kazi basi inaweza ikafanaya kazi zaidi ya ubongo wa binadamu......tukiachilia mbali computer hebu tuangalie mifano mingine michache ya vitu ambavyo vinarahisisha kazi na vinafanya kazi zaidi ya binadamu japo vimetengenezwa na binadamu huyohuyo

1. robbot
2. excavetor
3.gari
4.ndege

na vingine vingi.
 
 

Mkuu nimesoma comments zako nikaona ww ni bonge la genius in computer, mm ninavutiwa sana na vitu hivyo but sijui nianzeje please nisaidie nijue nitext kupitia 0746109778
 
Hilo la 3 b. Pigia mstari hakuna computer wala kifaa chochote chenye akili kuliko binadamu Lakini pia hata kwa viumbe vinavyotambulika ulimwenguni binadamu anaongoza kwa akili
Sio kweli,itetee hii hoja yako
 
daah we jamaa labda labda mungu mwenyewe ndo ataweza kukuelewesha ukaelewa somo
 
Umejibu vzur sn mkuu na umenikumbusha mbali kidogo kwenye mambo za binary numbers, hexadecimal dah digital electronics na computer ni tam sn
 
In red: Kuna mwanafunzi alifariki shuleni kwetu miaka 20 iliyopita, harufu ya mafuta/manukato aliyopakwa/pulizwa niliyohisi wakati tunaaga mwili wa marehemu; imekaa kwenye ubongo wangu hadi sasa kiasi kwamba nikikutana na mtu ambaye anatoa harufu ya namna ile huwa najisikia vibaya!
 
Computer......ni programmed device......ili ifanye jambo, ni lazima iwekewe program kuhusiana na kitu hicho...that's why iko very faster..otherwise it can't work........kitu ambacho ni tofauti kabisa kwa mwanadamu....mtu hufanya mambo kwa UTASHI na sio kwa kuzingatia 'program' fulani.

Kwa hiyo, huwezi kulinganisha hata kidogo kompyuta na ubongo wa mwanadamu......
 
Hilo la 3 b. Pigia mstari hakuna computer wala kifaa chochote chenye akili kuliko binadamu Lakini pia hata kwa viumbe vinavyotambulika ulimwenguni binadamu anaongoza kwa akili
unajidanganya braza.... ni sawa na kujitekenya mwenyewe afu unachekq mwenyewe....

eti hakuna zaid ya ubongo wa mwanadamu... labda km ubongo wa stephen hawking na sio mange kimambi na gigy money...

kuna alliens... kuna paka.. mmbwa hawa woote wana ubongo mzuur tu.. sema tunachozid binadaamu kwa viumbe vyoote ni UTASHI.
 
 


Ulichoongea ni sahihi but what I would to ask ni kwamba nan aliyetengeneza computer??? Is it a human being or not ??? If the answer is yes then mwanadamu alitengeneza computer ili imrahishie kufanya kaz , kaz aliyotakiwa kufanya Kwa masaa 2 anaweza kufanya Kwa dakika 2 , so hapo computer haiwez kuwa na akili zaid ya binadam coz aliifanya iwe vile au ifanye hzo kaz Ni binadamu, but kama ingekuwa computer haijatengenezwa na binadam dhahiri computer ingekuwa na akili zaid ya binadam..
 
Duh umenikumbusha topic ya electronic advance kitambo sana(Naona application ya logic gates)...ntakutafuta unipe shule ya coding
 
Ukute sasa mleta mada hajui chochote kuhusu coordination in animal...sijui hata unaanza kumjibu wapi
 
nullpointer! rudi tupe somo bhana
Wameshamtibua.
Kajilalia zake sa hz.

Ila humu Jf kuna vichwa, basi tu samtaim ndo hivo kuzinguana na kutibuana.
Ila Jamaa kashusha nondo mpaka mie nimemkubali.

NullPointer njoo basi, wengi tulikuwa tunasoma nondo zako.
 
Mkuu kunywa maji ya kilimanjaro kwa mangi nakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…