Maswali gani huulizwa Utumishi kwa kada ya Auditor II?

Maswali gani huulizwa Utumishi kwa kada ya Auditor II?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kwa wale tulioomba kazi za Auditor II huko utumishi waajiri wakiwa Ministries, departments local government na CAG.

Tunaomba wale waliowahi kufanya written and oral interviews za kada za auditor ii huko utumishi mtupe uzoefu wenu wa maswali mliyowahi kuulizwa ili nasi tuzidi kujinoa ipasavyo.

KARIBUNI
 
Ushaitwa mkuu? au umeamua kupasha kujiandaa kwa lolote
 
Hv hzo Ajira za LGA na MDA wanaweza kuita Usaili kwa intake/batch moja maana zile kazi nyingi(yaan simaanishi nyingi kwa idadi, Ila kada ni tofauti tofauti) so Kuna possibility ya mkeka wa Usaili kuwa na watu zaidi ya 50,000
Mchumi II nahitaji pia maswali wadau yanayoulizwa oral au written for area of concentration...
 
Hv hzo Ajira za LGA na MDA wanaweza kuita Usaili kwa intake/batch moja maana zile kazi nyingi(yaan simaanishi nyingi kwa idadi, Ila kada ni tofauti tofauti) so Kuna possibility ya mkeka wa Usaili kuwa na watu zaidi ya 50,000
Waliowahi kupanda kizimbani ngoja waje kutupa muongozo
 
Make sure upitie overview concept of auditing.

Vitu kama types, forensic audit, frauds,materiality,procedures za auditing usisahau ku cover.

Pia na assurance services mkuu.

Finally,I wish you all the best comrade [emoji4].
 
Kingine mkuu make sure mtihani uwe mgumu au simple pambana ufikishe 55 mkuu ndo iwe Kama pass mark Yako chini ya hapo ni majanga Kama mpo wengi kwenye hiyo kazi
 
Back
Top Bottom