Maswali gani huulizwa Utumishi kwa kada ya Auditor II?

Maswali gani huulizwa Utumishi kwa kada ya Auditor II?

Make sure upitie overview concept of auditing.

Vitu kama types, forensic audit, frauds,materiality,procedures za auditing usisahau ku cover.

Pia na assurance services mkuu.

Finally,I wish you all the best comrade [emoji4].
Shukran mkuu,hii experience yako mwajiri alikua nani?
 
Kweli kabisa mkuu maana nimeona TSN juzi wamechukua watu wenye 75%+ kwenda kwenye oral.
Noma sana.
Mwenyewe kuna nafasi nimeapply huko bado sijaona shortlisted ila hizi alama za juu zimeanza kuniogopesha😀😀😀
 
Noma sana.
Mwenyewe kuna nafasi nimeapply huko bado sijaona shortlisted ila hizi alama za juu zimeanza kuniogopesha[emoji3][emoji3][emoji3]
Kikubwa kujiandaa mapema mkuu.

Piga msuli wa kutosha.

Ila naona maswali ya saili Kama nne hivi zilizopita yame base kwenye kada husika,ko jikite kidogo kwenye kada yako though utumishi hawatabiriki.

Juu ya yote kila la heri boss.
 
Kikubwa kujiandaa mapema mkuu.

Piga msuli wa kutosha.

Ila naona maswali ya saili Kama nne hivi zilizopita yame base kwenye kada husika,ko jikite kidogo kwenye kada yako though utumishi hawatabiriki.

Juu ya yote kila la heri boss.
Ahsante sana mkuu, ngoja niendelee kuomba miujiza ya shortlist kwanza, msuli wa siku ya pepa huwaga akili inakuwa active ingawa kuna risk kubwa ya kuvepesha madesa
 
Back
Top Bottom