Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni story tu zilizoandikwa na watu. Mungu hawezi kuleta vichekesho kama hivyo.Mkuu hizi zaweza kuwa stori za kufikirisha tu.
Hivi kwa mfano ike historia ya Mussa na wana wa Usraeli kuwatoa utumwani misri!
Baada ya kukatisha bahari ya shamu kuelekea nchi ya ahadi kwa muda wa miaka 40! kijiografia kama Dar hadi Chalinze. Inakujaje hii?
Mimi nadhani hizi ni hadithi za kiroho kwa ajili ya kusapotia ama kuelimishia matendo mengine.
Ndiyo maana kila baada ya "somo", huwa kuna kutafasiri hadithi iliyosomwa. Ingekuwa siyo hadithi, ni historia, pasingekuwa na haja ya kufasiri baada ya kusoma somo.
Uelewa wako ni mdogo sana aliahidi hataiangamiza tena dunia kwa gharika na sio kufurika kwa mito na mabwawa unayoiona wew. Mafuriko yanatokea jangwan hapo mapipa watu wanakula bata. Hapo ndo unasema kaiangamiza dunia? Omba mungu akuongezee ufahamu kama unaamin yupo.Kama ni mafuriko yalikuwa hiyo mito unataka kusema Mungu ni mwongo maana mwisho wa hiyo hadithi kuna ahadi imetolewa kuwa hakutakuja kuwa na mafuriko kama hayo tena duniani. Sasa ni mara ngapi mito inafurika na watu wanakufa hapa duniani? Ina maana Mungu alidanganya?!