real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
- Thread starter
- #181
wewe una support hekaya kwa kutumia hekaya nyingine?Mkuu ukitaka kutumia uhalisia na logic ktk kujibu hayo maswali hutopata majibu kamwe. Chukulia mfano Yona aliyekuwa anakataa kwenda kumtumikia Mungu kule Ninawi. Ila mwisho wa siku alienda,unajua aliendaje?? Alimezwa na samaki na kuenda kutemwa kule.
Ila katika hali kawaida unadhani ni kitu kinachowezekana?
Kwahiyo kama Mungu aliweza kufanya hivyo,basi hakushindwa kutoa ufumbuzi wa maswali yako ambayo unaona hayawezekani.
case ya yona na hii ni tofauti kabisa, hapa unazungumzia kizazi cha viumbe vyote duniani kuteketezwa kisha kuanza upya tena kwa namna ambayo haiwezi kuelezewa kwa maelezo ya kama hayo ya mtu mmoja