Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

Mambo mengine tutumie akili. Titanic yenyewe ilikua kubwa kuliko hata hiyo safina. Lakini pamoja na ukubwa wote wa titanic bado haiwezi kubeba pair za wanyama wote.
 
Hizo ni story tu zilizoandikwa na watu. Mungu hawezi kuleta vichekesho kama hivyo.
 
Hehehe hizo stori hua saingine zinanichekesha sana. Uongo mtupu. YESU alituhusia sana kuhusu Kalamu za waandishi. Na kalamu za waandishi ndio zinaleta ujinga kama huu. Sasa hebu angalia mfano wa stori kama ya mnara wa babeli. Eti mungu anaogopa watu wanajenga mnara wa kumfikia yeye mbinguni? Hii kweli si ujinga mtupu?
 
Uelewa wako ni mdogo sana aliahidi hataiangamiza tena dunia kwa gharika na sio kufurika kwa mito na mabwawa unayoiona wew. Mafuriko yanatokea jangwan hapo mapipa watu wanakula bata. Hapo ndo unasema kaiangamiza dunia? Omba mungu akuongezee ufahamu kama unaamin yupo.
 
There's a BBC archeological investigative documentary CD on this subject.It's very informative the vendors at Mwenge have it,buy if will answer most of your queries
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…