Maswali kuhusu Oral Interview za Utumishi

Maswali kuhusu Oral Interview za Utumishi

AdjuctCothema

New Member
Joined
Oct 12, 2021
Posts
4
Reaction score
3
Wapendwa Habari zenu.

Samahani nilikuwa naomba kuuliza majibu ya usaili wa ana kwa ana (oral interview) ya utumishi huwa yanatoka baada ya muda gani.

Walisema wiki 2 mpka tatu lakini ni wiki ya 4 hii naona kimya hakuna update yoyote ile.

Asanteni.
 
Huchukua mda mrefu naskia huko utumishi
 
watatoa naona kweny trh 30 au 20 na kitu ila mwezi haruki sana sana mwisho wa mwezi
 
m naonaga wanatoa tarehe karibu na 20 ya mwezi husika .....17-23 mitaa hiyo

Sijajua y ila Kwa mtazamo wangu usio na kichwa wala miguu ..labda hua wanataka ule mwezi utaoanzia kazi uingie kwenye payrol Kwa wakati na upate kamshahara Ka Kwanza kwenye mwezi utaofuata Sawa na wengine.
 
Wapendwa Habari zenu.

Samahani nilikuwa naomba kuuliza majibu ya usaili wa ana kwa ana (oral interview) ya utumishi huwa yanatoka baada ya muda gani.

Walisema wiki 2 mpka tatu lakini ni wiki ya 4 hii naona kimya hakuna update yoyote ile.

Asanteni.
Mwenyewe niko na swali kama lako
 
Back
Top Bottom