AdjuctCothema
New Member
- Oct 12, 2021
- 4
- 3
So inaamanisha kama mwezi na nusu ndo majibu ya usaili yatoke dear?watatoa naina kweny trh 30 au 20 na kitu ila mwezi haruki sana sana mwisho wa mwezi
What if Kama wameshaingizwa mzigoni kimyakimya.?Omba Mungu tuu, maana wale wadogo zetu wa TRA mpk leo hawajawaambia chochote.
Kama watafanya hivyo aibu yao.What if Kama wameshaingizwa mzigoni kimyakimya.?
Kuna rumors zilikuWa kule kwa ile interview inaweza kurudiwa upya.Kama watafanya hivyo aibu yao.
Mwenyewe niko na swali kama lakoWapendwa Habari zenu.
Samahani nilikuwa naomba kuuliza majibu ya usaili wa ana kwa ana (oral interview) ya utumishi huwa yanatoka baada ya muda gani.
Walisema wiki 2 mpka tatu lakini ni wiki ya 4 hii naona kimya hakuna update yoyote ile.
Asanteni.
Leo wametangazaHv waliopata kazi bado hawajatangazwa tuu.?
[emoji16][emoji16] KIVIPI mzee
Daah em naomba serious niangalizie jina langu kama lipo Ezekiel MbagaLeo wametangaza
Ulipiga kada gani boss wanguDaah em naomba serious niangalizie jina langu kama lipo Ezekiel Mbaga