Maswali kuhusu Queen Elizabeth na utawala wake

Davet

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
42,445
Reaction score
205,933
Habari zenu wakuu? Natumaini mmeamka salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya hapa na pale.

Kama mada inavojieleza hapo juu, kwasiku nyingi nimekua na maswali kuhusu huyu bibi na nguvu yake ya utawala sasa leo nimeona niulize kwenu kwani humu ni sehemu sahihi ya mm kupata majibu hayo.

Kwanza kabisa nipenda kujua huyu mama ana mume? Kama anae anatambulika kama King(mfalme)?

Pili napenda kujua kama mume wa malkia hatambuliki kama mfalme ni kwanini, na kama anatambulika kama mfalme kwanini queen ndio aonekane kuwa na power?

Tatu naomba mnijuze nguvu hii ya malkia Eliza kaipata vipi na lini?

Nne naomba kujua kabla yake kulikua na nani na baada yake atakua nani au itakua vp?

Tano ni kuhusu nguvu ya mume wake katika utawala wa Queen/ yaan jamaa ana kazi gani?

Mwisho kabisa naomba kujua nnchi ambazo zipo chini ya utawala wake yeye kama queen[emoji73] .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gettyimages-493096206-1491412969.jpg

Huyu mama hana nguvu ya maamuzi ndani ya nchi yake yupo tu kama pambo...

Huyu mama ndiyo mmiliki wa Land: 6.6 billion acres of land worldwide including Great Britain, Northern Ireland, Canada, Australia and a few other spots here and there. Also, the all- important Falkland Islands.

Kama mkuu wa Jumuiya ya Madola yeye ni pia mkuu wa dola wa nchi zifuatazo n´dani ya jumuiya
hii:
-Malkia wa Antigua na Barbuda
-Malkia wa Australia
-Malkia wa Bahamas
-Malkia wa Barbados
-Malkia wa Belize
-Malkia wa Kanada
-Malkia wa Grenada
-Malkia wa Jamaika
-Malkia wa New Zealand
-Malkia wa Papua Guinea Mpya
-Malkia wa Saint Kitts na
-Nevis Malkia wa Saint Lucia
-Malkia wa Saint Vincent na Grenadini
-Malkia wa Visiwa vya Solomon
-Malkia wa Tuvalu
 
Pambo duh..
Mkuu ungemalizia na hayo maswali mengne ili tuelewe vizuri
 
Duuh! Asante mkuu kwa ufafanuzi kidogo uliotoa lakini naomba kuongezea mashwali kidogo kama utakua na uelewa juu yao:

Hichi kiasi kikubwa namna hyo cha ardh anayomiliki alirithishwa au? Na ukuu wa jumuia ya madola alokuanao kwanini yeye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa King/Queen kama hujazaliwa katika loyal family, mume wa Queen Elizabeth alioa ktk familia ya kifalme so yeye ametokea nje, hawezi kuwa mfalme. Prince Charles, mtoto wa Queen Elizabeth anaweza kuwa mfalme, Prince William na Harry wanaweza kuwa wafalme, lakini sio wake zao
 
Hivi Tanzania si ni koloni la mwingereza?? Hayo nahisi yalikuwa ni makoloni ya waingereza kuna thread ipo humu inamzungumzia hyu mama...

Kuna vile nahisi kuna mikataba mwl aliingia na hao, ili Tanzania iwe huru

Yapo mengi sana nyuma ya pazia yanayo sababisha Tanzania isiendelee isiweze kupiga hatua za maendeleo
 
Sawa lakn mkuu kma umetoka hivi nje ya mada
 
Huwezi kuwa King/Queen kama hujazaliwa katika loyal family, mume wa Queen Elizabeth alioa ktk familia ya kifalme so yeye ametokea nje, hawezi kuwa mfalme. Prince Charles, mtoto wa Queen Elizabeth anaweza kuwa mfalme, Prince William na Harry wanaweza kuwa wafalme, lakini sio wake zao
Asante kiongozi.
Kwahyo inamaanisha wakati Elizabeth anaolewa hakua na kaka yake ambae angerithi mikoba ya Ufalme?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kiongozi.
Kwahyo inamaanisha wakati Elizabeth anaolewa hakua na kaka yake ambae angerithi mikoba ya Ufalme?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mfalme George V alikuwa na watoto wawili ambao ni Edward na George, Edward ndio alikuwa mkubwa...

Baada ya mfalme George V kufariki aliingia madarakani mtoto wake wa kwanza wa kiume ambae ni Edward, akaitwa mfalme Edward VIII, baadae Edward alimpata mwanamama wa kimarekani ikawa skandali kubwa 1936. ikabidi ajiudhuru na kumuachia madaraka mdogo wake George, akaitwa mfalme George VI. George alikuwa na watoto wawili tu wa kike, Elizabeth na Margareth, Eliza ndio alikuwa mkubwa, alipofariki baba yao Elizabeth ndio akarithi madaraka na kuitwa Queen Elizabeth II. Ndio huyu wa sasa, mdogo wake alifariki 2002.
 
HIS IMPERIAL MAJESTY EMPEROR HAILE SELASSIE I THE FIRST - DEFENDER OF THE FAITH

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Back
Top Bottom