Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Habari zenu wakuu? Natumaini mmeamka salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya hapa na pale.
Kama mada inavojieleza hapo juu, kwasiku nyingi nimekua na maswali kuhusu huyu bibi na nguvu yake ya utawala sasa leo nimeona niulize kwenu kwani humu ni sehemu sahihi ya mm kupata majibu hayo.
Kwanza kabisa nipenda kujua huyu mama ana mume? Kama anae anatambulika kama King(mfalme)?
Pili napenda kujua kama mume wa malkia hatambuliki kama mfalme ni kwanini, na kama anatambulika kama mfalme kwanini queen ndio aonekane kuwa na power?
Tatu naomba mnijuze nguvu hii ya malkia Eliza kaipata vipi na lini?
Nne naomba kujua kabla yake kulikua na nani na baada yake atakua nani au itakua vp?
Tano ni kuhusu nguvu ya mume wake katika utawala wa Queen/ yaan jamaa ana kazi gani?
Mwisho kabisa naomba kujua nnchi ambazo zipo chini ya utawala wake yeye kama queen[emoji73] .
Sent using Jamii Forums mobile app