Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna Uzi humu tumemzungumzia sana![]()
Huyu mama hana nguvu ya maamuzi ndani ya nchi yake yupo tu kama pambo...
Huyu mama ndiyo mmiliki wa Land: 6.6 billion acres of land worldwide including Great Britain, Northern Ireland, Canada, Australia and a few other spots here and there. Also, the all- important Falkland Islands.
Kama mkuu wa Jumuiya ya Madola yeye ni pia mkuu wa dola wa nchi zifuatazo n´dani ya jumuiya
hii:
-Malkia wa Antigua na Barbuda
-Malkia wa Australia
-Malkia wa Bahamas
-Malkia wa Barbados
-Malkia wa Belize
-Malkia wa Kanada
-Malkia wa Grenada
-Malkia wa Jamaika
-Malkia wa New Zealand
-Malkia wa Papua Guinea Mpya
-Malkia wa Saint Kitts na
-Nevis Malkia wa Saint Lucia
-Malkia wa Saint Vincent na Grenadini
-Malkia wa Visiwa vya Solomon
-Malkia wa Tuvalu
Ana nguvu sana
Ana uwezo wa kuvunja baraza lote
Hata kama ni bunge la Australia anavunja akitaka