Maswali kuhusu Queen Elizabeth na utawala wake

Maswali kuhusu Queen Elizabeth na utawala wake

gettyimages-493096206-1491412969.jpg

Huyu mama hana nguvu ya maamuzi ndani ya nchi yake yupo tu kama pambo...

Huyu mama ndiyo mmiliki wa Land: 6.6 billion acres of land worldwide including Great Britain, Northern Ireland, Canada, Australia and a few other spots here and there. Also, the all- important Falkland Islands.

Kama mkuu wa Jumuiya ya Madola yeye ni pia mkuu wa dola wa nchi zifuatazo n´dani ya jumuiya
hii:
-Malkia wa Antigua na Barbuda
-Malkia wa Australia
-Malkia wa Bahamas
-Malkia wa Barbados
-Malkia wa Belize
-Malkia wa Kanada
-Malkia wa Grenada
-Malkia wa Jamaika
-Malkia wa New Zealand
-Malkia wa Papua Guinea Mpya
-Malkia wa Saint Kitts na
-Nevis Malkia wa Saint Lucia
-Malkia wa Saint Vincent na Grenadini
-Malkia wa Visiwa vya Solomon
-Malkia wa Tuvalu
Kuna Uzi humu tumemzungumzia sana
Ana nguvu sana
Ana uwezo wa kuvunja baraza lote
Hata kama ni bunge la Australia anavunja akitaka
 
Nilishangaa sana aliposema huyu mama hana nguvu, she is the head of several states...Prime Ministers wanategemea support yake ili mambo yaende.
Ni ceremonial figure tuu, hana madaraka ya kisiasa au kiutendaji. Hawezi fanya maamuzi ya kiserikali
 
Mfalme George V alikuwa na watoto wawili ambao ni Edward na George, Edward ndio alikuwa mkubwa...

Baada ya mfalme George V kufariki aliingia madarakani mtoto wake wa kwanza wa kiume ambae ni Edward, akaitwa mfalme Edward VIII, baadae Edward alimpata mwanamama wa kimarekani ikawa skandali kubwa 1936. ikabidi ajiudhuru na kumuachia madaraka mdogo wake George, akaitwa mfalme George VI. George alikuwa na watoto wawili tu wa kike, Elizabeth na Margareth, Eliza ndio alikuwa mkubwa, alipofariki baba yao Elizabeth ndio akarithi madaraka na kuitwa Queen Elizabeth II. Ndio huyu wa sasa, mdogo wake alifariki 2002.
Salute kwako kiongozi kwakwel umetatua utata mkubwa niliokuanao...... shukrani nyingi kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Queen Elizabeth 1 alifariki mwaka 1601.. Baada ya haoo dynasty ikiyofuata ni ya marry Stewart amabpo kijana wake aitwae King James 1 akatwaa madaraka. Alifuatiwa na king Charles baadaye Oliver Cromwell kisha Charles 2 baaya kushindwa akaja King James 2 naye pia akafanyiwa mapinduzi akarithiwa na King William iii na ndio kisha baadye utawala ukarudi kwa Queen Elizabeth dynast ndio mpaka Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wako serious au mradi tubishane tu
Hotuba yake tu huwa tunajiuliza ataongelea nini
Ya PM haina uzito kama huyu bibi
Mkuu ngoja tumuongezee na hizi hapa chini

Elizabeth II is the sovereign and constitutionally all acts of government; legislative, executive and judicial, come from her, including all laws, which are made by her upon the advice and consent of the Lords Spiritual and Temporal and the Commons in Parliament assembled (the Enacting Words of UK legislation). She is also the Supreme Governor of the state religion, the Church of England and Commander in Chief of the Armed Forces.

You really can't get more powerful than that.
 
Queen Elizabeth 1 alifariki mwaka 1601.. Baada ya haoo dynasty ikiyofuata ni ya marry Stewart amabpo kijana wake aitwae King James 1 akatwaa madaraka. Alifuatiwa na king Charles baadaye Oliver Cromwell kisha Charles 2 baaya kushindwa akaja King James 2 naye pia akafanyiwa mapinduzi akarithiwa na King William iii na ndio kisha baadye utawala ukarudi kwa Queen Elizabeth dynast ndio mpaka Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu kwa elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ngoja tumuongezee na hizi hapa chini

Elizabeth II is the sovereign and constitutionally all acts of government; legislative, executive and judicial, come from her, including all laws, which are made by her upon the advice and consent of the Lords Spiritual and Temporal and the Commons in Parliament assembled (the Enacting Words of UK legislation). She is also the Supreme Governor of the state religion, the Church of England and Commander in Chief of the Armed Forces.

You really can't get more powerful than that.
Duuh! Kweli kiongozi huyu mama ni noma maana hyo n zaidi ya power sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nackia huyu bibi alikutana na Mwal. Nyerere akampa mkono bila kuvua gloves et Mwalimu nae akamshikisha fimbo yke km mkono

Juzi niliona anakagua benki ya dhahabu

G.O.M.D
 
nackia huyu bibi alikutana na Mwal. Nyerere akampa mkono bila kuvua gloves et Mwalimu nae akamshikisha fimbo yke km mkono

Juzi niliona anakagua benki ya dhahabu

G.O.M.D
Mimi pia hii story nmeisikia siku nyingi sana ila sina hakika kama ni kweli mana kulikua na ile nyinyine ya Michael Jackson kua ilivotua tu airport akaziba pua kua pananuka na akageuka ila hii ya michael haikua na ukweli. Sasa kuhusu Queen na Mwalimu sijui kwakwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom