Maswali kuhusu Taulo za Kike zinazotolewa bure

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Je, wanaogawa Pedi za Kike lengo lao huwa ni lipi?

Je, huwarudia waliowapa na kuwapa tena?

Je, ni kweli wazazi wanashindwa nunua pedi za 1500-3000 mara moja kwa mwezi?

Je, serikali ina mpango gani katika kuhusishwa kwenye huo ugawaji?

Je, wahusika sio kwamba wanataka watumia wasichana kupata pesa kutoka kwa wafadhiri?

Kwanini wawarekodi wanaopewa msaada?

Kwanini wanalia kuwa Kodi iondolewe wakati wao wanakuja ziuza kwa bei zile zile?

Je, tujiandaeje kama taifa ili tuweze ondoa hilo tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…