HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
- Thread starter
- #41
Kwanini wanagawa mara moja tu kwenye shule husika na hawarudi tena kuwapa mwenzi unaofuata?Kwa uelewa wangu mdogo naamini wanafanya hivyo kwa sababu kama tatu hivi,
1. Kutoa mrejesho kwa jamii / Taasisi zilizotoa pesa kufadhili zoezi hili.
2. Kuongeza uelewa wa jamii kuhusu tatizo lililopo hasa kwa wanafunzi walio katika mazingira magumu.
3. Kuvutia zaidi taasisi / jamii kuchangia zaidi ili taulo hizi zifikie walengwa wengi zaidi.