doh kwaiyo sasa anakivaa vip hicho jaman bila kuonekanaSijajua ILA wanawake wengi wanatumia haswa Dar vinakuwa design. Hiyo anavijua huyo anakuzingua tu
Sijajua ILA wanawake wengi wanatumia haswa Dar vinakuwa design. Hiyo anavijua huyo anakuzingua tu
Hii njia ndiyo msaada wa kudumu maana kinakaa miaka kumi, juliko leo unampa pedi kesho zimeisha anarudi kule kule.Sijajua ILA wanawake wengi wanatumia haswa Dar vinakuwa design. Hiyo anavijua huyo anakuzingua tu
Utadhani ni tatizo lilozuka hivi karibuni, ila kwa upande mwinge unaweza kusema ni tatizo lilokuja baada ya mmonyoko wa maadili, watoto ufanya mapenzi wakiwa wadogo sana kwahiyo uwapelekea kutumia majira na majira inaharibu mfumo mzima wa hedhi, kwahiyo watoto wakiwa shule ni ngumu kukabiliana na hiyo hali, hedhi inaweza kwenda mwezi mzima na kuzidi.Je, wanaogawa Pedi za Kike lengo lao huwa ni lipi?
Je, huwarudia waliowapa na kuwapa tena?
Je, ni kweli wazazi wanashindwa nunua pedi za 1500-3000 mara moja kwa mwezi?
Je, serikali ina mpango gani katika kuhusishwa kwenye huo ugawaji?
Je, wahusika sio kwamba wanataka watumia wasichana kupata pesa kutoka kwa wafadhiri?
Kwanini wawarekodi wanaopewa msaada?
Kwanini wanalia kuwa Kodi iondolewe wakati wao wanakuja ziuza kwa bei zile zile?
Je, tujiandaeje kama taifa ili tuweze ondoa hilo tatizo?
Sasa hao wagawa taulo kwanini wapiga picha na hao mabinti na je wanawapa Kila mwezi?Mkuu kama kuna familia zinashindwa kumudu milo mitatu kwa siku, wataweza kupata pesa ya hizo taulo kila mwezi?
Ukitaka kufahamu vizuri suala hili jaribu kuongea na walimu (hasa wa kike) wanaolea wanafunzi wakike kuanzia darasa la tano hadi sekondari utapata mwanga kidogo kuhusu hayo mambo unayouliza
Sijajua ILA wanawake wengi wanatumia haswa Dar vinakuwa design. Hiyo anavijua huyo anakuzingua tu
Kabisa ni yeye tu na utunzaji wakeHii njia ndiyo msaada wa kudumu maana kinakaa miaka kumi, juliko leo unampa pedi kesho zimeisha anarudi kule kule.
Vzuri kwanza kuhusu cost kinakaa muda mrefu, jaribu madamNikiwaza hyo hedhi cup kuingiza humo ndani napata goosebumps [emoji31][emoji31][emoji1373][emoji1373][emoji1373] taulo sijui kwakweli ila naona tampons ziko vyemaaaaaa [emoji16][emoji16]
Sasa hao wagawa taulo kwanini wapiga picha na hao mabinti na je wanawapa Kila mwezi?
Tatizo naona kama hazifahamiki sana kwa jamii, ila ni nzuri sana sana na hasa kijijini itawasaidia sana.Kabisa ni yeye tu na utunzaji wake
Ni uzembe wa hizo familia, tuwe wakweli kwenye hiliMkuu kama kuna familia zinashindwa kumudu milo mitatu kwa siku, wataweza kupata pesa ya hizo taulo kila mwezi?
Ukitaka kufahamu vizuri suala hili jaribu kuongea na walimu (hasa wa kike) wanaolea wanafunzi wakike kuanzia darasa la tano hadi sekondari utapata mwanga kidogo kuhusu hayo mambo unayouliza
Maana kwanini hawawarudii kuwapa tena?Utadhani ni tatizo lilozuka hivi karibuni, ila kwa upande mwinge unaweza kusema ni tatizo lilokuja baada ya mmonyoko wa maadili, watoto ufanya mapenzi wakiwa wadogo sana kwahiyo uwapelekea kutumia majira na majira inaharibu mfumo mzima wa hedhi, kwahiyo watoto wakiwa shule ni ngumu kukabiliana na hiyo hali, hedhi inaweza kwenda mwezi mzima na kuzidi.