Maswali kuhusu Taulo za Kike zinazotolewa bure

Wakuu.....
Hivi mnajadili nini hapa...🤔 maana naona komenti zinashuka tu, hata nikikodoa macho sielewi kinacho jadiliwa..😶
 
Mkuu kama kuna familia zinashindwa kumudu milo mitatu kwa siku, wataweza kupata pesa ya hizo taulo kila mwezi?

Ukitaka kufahamu vizuri suala hili jaribu kuongea na walimu (hasa wa kike) wanaolea wanafunzi wakike kuanzia darasa la tano hadi sekondari utapata mwanga kidogo kuhusu hayo mambo unayouliza
 
Utadhani ni tatizo lilozuka hivi karibuni, ila kwa upande mwinge unaweza kusema ni tatizo lilokuja baada ya mmonyoko wa maadili, watoto ufanya mapenzi wakiwa wadogo sana kwahiyo uwapelekea kutumia majira na majira inaharibu mfumo mzima wa hedhi, kwahiyo watoto wakiwa shule ni ngumu kukabiliana na hiyo hali, hedhi inaweza kwenda mwezi mzima na kuzidi.
 
Sasa hao wagawa taulo kwanini wapiga picha na hao mabinti na je wanawapa Kila mwezi?
 
Nikiwaza hyo hedhi cup kuingiza humo ndani napata goosebumps [emoji31][emoji31][emoji1373][emoji1373][emoji1373] taulo sijui kwakweli ila naona tampons ziko vyemaaaaaa [emoji16][emoji16]
Vzuri kwanza kuhusu cost kinakaa muda mrefu, jaribu madam
 
Sasa hao wagawa taulo kwanini wapiga picha na hao mabinti na je wanawapa Kila mwezi?

Kwa uelewa wangu mdogo naamini wanafanya hivyo kwa sababu kama tatu hivi,

1. Kutoa mrejesho kwa jamii / Taasisi zilizotoa pesa kufadhili zoezi hili.

2. Kuongeza uelewa wa jamii kuhusu tatizo lililopo hasa kwa wanafunzi walio katika mazingira magumu.

3. Kuvutia zaidi taasisi / jamii kuchangia zaidi ili taulo hizi zifikie walengwa wengi zaidi.
 
Ni uzembe wa hizo familia, tuwe wakweli kwenye hili
 
Maana kwanini hawawarudii kuwapa tena?

Niliona siku 1 wamegawa Jangwani ila hadi leo mwaka umepita hawajarudi kugawa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…