Maswali kuhusu usajili wa Lameck Lawi

Maswali kuhusu usajili wa Lameck Lawi

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Maswali muhimu ya kujiuliza juu ya usajili wa LAMECK LAWI.

1). Kwanini SIMBA watambulishe picha za wanyama badala ya picha ya mchezaji husika.

2). Kwanini SIMBA wamtambulishe LAWI katikati ya SENKYU zao hali ya kuwa inaonekana bado hawajamaliza kutoa SENKYU Klabuni mwao. SIMBA walikuwa na haraka gani au kuna kitu wamekihisi juu ya LAWI?.

3). Kwanini SIMBA kwenye hili tangazo lao wameweka majina mawili tu, LAMECK LAWI, na sio majina matatu, LAMECK ELIAS LAWI?.

Nini kipo nyuma ya pazia juu ya usajili wa LAMECK LAWI?.

Janja janja hii Sasa hapa ndo MWAMED Kasema anasajiri mwenyewe mwaka huu.

Kwanini Wanasimba tunachezewa hivi? Ndo kwanza usajiri wa Kwanza tutaona na kusikia mengi.
 
Umeuliza maswali mazuri.

Binafsi naona inashangaza sana kuona mchezaji akisajiliwa kwa maneno tu kupitia vyombo vya habari. Tena kwa timu kama Simba! Yaani tusimuone akiwa amevaa jezi ya timu yao, na pia akionekana kusaini mkataba!!

Na kwa nini wenye mchezaji wao wapinge kuhusu huo usajili? Nini kimejificha nyuma ya pazia?
 
Coastal hawawezi kuitilia ngumu Simba. Timu yenyewe msimu uliopita wa 2022-23 ilikuwa ishuke daraja kama siyo kwa msaada wa Simba kwenye ile game ya mwisho.

Kuhusu kutovaa jezi, inawezekana ni ishu za jezi mpya hazijatoka na kutotaka kumvalisha jezi za msimu ulioisha.

Ninachoona ni yale yale ya Kibu. Kuna watu ndani ya klabu si watu wema kwa maendeleo ya timu, wanaweka mazingira ya wachezaji kudai pesa nyingi zaidi ya wanazostahili ama kukomoa mtu/watu au kupiga pesa. Hili jambo linanichukiza sana.
 
Acha uongo simba alimfunga coastal goal sita mpaka saido akafungana magoli na mayele
Kumfunga ndo kumsaidia asishuke daraja
 
Kwenye masuala ya usajili simba hawajahi kukurupika. Lazima kuna kosa costal walilifanya kwenye huo usajili. Costal walishachukua pesa , sasa yawezekana kuna deal jingine nono limekuja wakaona ngoja wawageuke simba.

Simba wametupa jiwe kwenye kichaka ili waone nini kitakurupuka toka kwenye hicho kichaka.Bahati nzuri costal wamekurupuka toka kwenye kichaka . Kilichobaki nikuoneshana ubavu nani zaidi.Na hii vita costal hawezi kuishinda.
 
Fuatilia vizuri au uliza wanaokumbuka Coastal alikuwa anahitaji nini. Ile mechi ilichezwa kimkakati wakati huo huo walikuwa wanasikilizia matokeo ya mechi nyingine. Ilikuwa mechi ya tega nikutege.
 
Wewe nae achaga uongo msaada gani huo wa kuifunga timu tena goli nyingi? hapo alie kua anamsadia mwenzake nani?
 
Maswali muhimu ya kujiuliza juu ya usajili wa LAMECK LAWI.

1). Kwanini SIMBA watambulishe picha za wanyama badala ya picha ya mchezaji husika.

2). Kwanini SIMBA wamtambulishe LAWI katikati ya SENKYU zao hali ya kuwa inaonekana bado hawajamaliza kutoa SENKYU Klabuni mwao. SIMBA walikuwa na haraka gani au kuna kitu wamekihisi juu ya LAWI?.

3). Kwanini SIMBA kwenye hili tangazo lao wameweka majina mawili tu, LAMECK LAWI, na sio majina matatu, LAMECK ELIAS LAWI?.

Nini kipo nyuma ya pazia juu ya usajili wa LAMECK LAWI?.

Janja janja hii Sasa hapa ndo MWAMED Kasema anasajiri mwenyewe mwaka huu.

Kwanini Wanasimba tunachezewa hivi? Ndo kwanza usajiri wa Kwanza tutaona na kusikia mengi.
masela bado wanaendeleza usela unyamani...Yanga mitatu mingine
 
Huyo mchezaji ni Simba tayari coastal wanajisumbua kwani tayari wameshalipwa pesa zote unaweza kukuta wale wanasheria wanaoshindwa Kila kesi ndio wanaishauri coastal.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kwenye masuala ya usajili simba hawajahi kukurupika. Lazima kuna kosa costal walilifanya kwenye huo usajili. Costal walishachukua pesa , sasa yawezekana kuna deal jingine nono limekuja wakaona ngoja wawageuke simba.

Simba wametupa jiwe kwenye kichaka ili waone nini kitakurupuka toka kwenye hicho kichaka.Bahati nzuri costal wamekurupuka toka kwenye kichaka . Kilichobaki nikuoneshana ubavu nani zaidi.Na hii vita costal hawezi kuishinda.
Issue ya singano ilikuaje tutolee ujinga wako hapa
 
Simba wahuni Sana .. msemaji WA coastal Union amekataa na mchezaji mwenyewe pia amekataa ..
 
Fuatilia vizuri au uliza wanaokumbuka Coastal alikuwa anahitaji nini. Ile mechi ilichezwa kimkakati wakati huo huo walikuwa wanasikilizia matokeo ya mechi nyingine. Ilikuwa mechi ya tega nikutege.
Acha upuuzi wako bhana!.... mtu umfunge 6 alafu useme ulimsaidia asishuke daraja?

Eti mechi ilichezwa kimkakati, mkakati gani?
 
Back
Top Bottom