KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
- Thread starter
- #21
Inafikirisha mkuu
Umeuliza maswali mazuri.
Binafsi naona inashangaza sana kuona mchezaji akisajiliwa kwa maneno tu kupitia vyombo vya habari. Tena kwa timu kama Simba! Yaani tusimuone akiwa amevaa jezi ya timu yao, na pia akionekana kusaini mkataba!!
Na kwa nini wenye mchezaji wao wapinge kuhusu huo usajili? Nini kimejificha nyuma ya pazia?