Maswali kuhusu usajili wa Lameck Lawi

Maswali kuhusu usajili wa Lameck Lawi

Na wewe ni mmojawapo kama hao wenzio wanaosema Coastal alifungwa 6?

Kwa hiyo tunakubaliana ile mechi haikupangwa na kuwa Saido alishea kihalali kiatu?
Nachojua mimi Coastal alifungwa swala la idadi ya magoli sio ishu. Sasa je Coastal kufungwa ndio msaada kwao?
 
Maswali muhimu ya kujiuliza juu ya usajili wa LAMECK LAWI.

1). Kwanini SIMBA watambulishe picha za wanyama badala ya picha ya mchezaji husika.

2). Kwanini SIMBA wamtambulishe LAWI katikati ya SENKYU zao hali ya kuwa inaonekana bado hawajamaliza kutoa SENKYU Klabuni mwao. SIMBA walikuwa na haraka gani au kuna kitu wamekihisi juu ya LAWI?.

3). Kwanini SIMBA kwenye hili tangazo lao wameweka majina mawili tu, LAMECK LAWI, na sio majina matatu, LAMECK ELIAS LAWI?.

Nini kipo nyuma ya pazia juu ya usajili wa LAMECK LAWI?.

Janja janja hii Sasa hapa ndo MWAMED Kasema anasajiri mwenyewe mwaka huu.

Kwanini Wanasimba tunachezewa hivi? Ndo kwanza usajiri wa Kwanza tutaona na kusikia mengi.
Na aliyekwambia kuwa timu inatakiwa kutangaza wachezaji wapya baada ya kuandoa isiowtaka nani? Manara?
 
Nachojua mimi Coastal alifungwa swala la idadi ya magoli sio ishu. Sasa je Coastal kufungwa ndio msaada kwao?

Kwamba unajitoa ifahamu kwamba simba hakumfunga coastal union sita mechi ya pili kutoka mwishoni
Embu tusevu huu muda tufanye mambo ya maana. Huu mjadala hauna maana. Mnatunga matokeo mnayotaka nyie halafu mnadhani kuna jambo la kujadili hapa?

Nikifukua makaburi nitakuta ni nyie wenyewe ndiyo mlikuwa mnasema mechi imepangwa ili Saido ashinde kiatu, leo ameondoka Simba na mapenzi kwa Mayele yamekufa, naona ufahamu umewarudi.
 
Embu tusevu huu muda tufanye mambo ya maana. Huu mjadala hauna maana. Mnatunga matokeo mnayotaka nyie halafu mnadhani kuna jambo la kujadili hapa?

Nikifukua makaburi nitakuta ni nyie wenyewe ndiyo mlikuwa mnasema mechi imepangwa ili Saido ashinde kiatu, leo ameondoka Simba na mapenzi kwa Mayele yamekufa, naona ufahamu umewarudi.
Sasa zingine uache kuropoka na kuongopa mbele za watu. Mimi siko kwa hao wengine waliosema matokeo yalikuwa ni magoli sita au Saido alitengenezewa mazingira Bali mimi nataka wewe ulete matokeo yanayosadiki kuwa kweli Simba iliibeba Coastal kwenye hiyo mechi.
Nimekuomba ufanye hivyo muda mrefu lakini unajibaraguza tu na kuniunganisha na comment zisizohusiana na kile nilichokisema. Lete wewe hayo matokeo ya mechi
 
Kwenye masuala ya usajili simba hawajahi kukurupika. Lazima kuna kosa costal walilifanya kwenye huo usajili. Costal walishachukua pesa , sasa yawezekana kuna deal jingine nono limekuja wakaona ngoja wawageuke simba.

Simba wametupa jiwe kwenye kichaka ili waone nini kitakurupuka toka kwenye hicho kichaka.Bahati nzuri costal wamekurupuka toka kwenye kichaka . Kilichobaki nikuoneshana ubavu nani zaidi.Na hii vita costal hawezi kuishinda.
We jamaa wewe khaaaaa!

Kwamba Simba hawajawahi kukurupuka kwenye maswala ya usajili?
 
Back
Top Bottom