Maswali kuhusu usajili wa Lameck Lawi

Na wewe ni mmojawapo kama hao wenzio wanaosema Coastal alifungwa 6?

Kwa hiyo tunakubaliana ile mechi haikupangwa na kuwa Saido alishea kihalali kiatu?
Nachojua mimi Coastal alifungwa swala la idadi ya magoli sio ishu. Sasa je Coastal kufungwa ndio msaada kwao?
 
Na aliyekwambia kuwa timu inatakiwa kutangaza wachezaji wapya baada ya kuandoa isiowtaka nani? Manara?
 
Nachojua mimi Coastal alifungwa swala la idadi ya magoli sio ishu. Sasa je Coastal kufungwa ndio msaada kwao?

Kwamba unajitoa ifahamu kwamba simba hakumfunga coastal union sita mechi ya pili kutoka mwishoni
Embu tusevu huu muda tufanye mambo ya maana. Huu mjadala hauna maana. Mnatunga matokeo mnayotaka nyie halafu mnadhani kuna jambo la kujadili hapa?

Nikifukua makaburi nitakuta ni nyie wenyewe ndiyo mlikuwa mnasema mechi imepangwa ili Saido ashinde kiatu, leo ameondoka Simba na mapenzi kwa Mayele yamekufa, naona ufahamu umewarudi.
 
Sasa zingine uache kuropoka na kuongopa mbele za watu. Mimi siko kwa hao wengine waliosema matokeo yalikuwa ni magoli sita au Saido alitengenezewa mazingira Bali mimi nataka wewe ulete matokeo yanayosadiki kuwa kweli Simba iliibeba Coastal kwenye hiyo mechi.
Nimekuomba ufanye hivyo muda mrefu lakini unajibaraguza tu na kuniunganisha na comment zisizohusiana na kile nilichokisema. Lete wewe hayo matokeo ya mechi
 
We jamaa wewe khaaaaa!

Kwamba Simba hawajawahi kukurupuka kwenye maswala ya usajili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…