Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maisha bora maana yake imebadilishwa na JK hakumbuki nini aliahidi kweneye kampeni anasingizia hakuandaa ilani ya CCM
 
eti nchi zilizoendelea maisha bora ni kipato tuu
na TZ maisha bora ni huduma bora maji, hospitali, elimu
du hii kali
 
Hahaha JK anatumia lugha ya kisiasa kujibu swali hilo. Kwa raia wa kawaida hamwelewi kabisaaa

Heheheheheee.....uuuuwiiiiiii......unajua mimi nalaumu watu wa press Tanzania. Hawakuomba definition wala ufafanuzi wa maisha bora kwa kila Mtanzania wakati wa uchaguzi 2005
 
Hahaha JK anatumia lugha ya kisiasa kujibu swali hilo. Kwa raia wa kawaida hamwelewi kabisaaa


Ndio siasa hiyo mkuu...si unasikia...bajeti ya mikopo ya wanafunzi imeongezeka; cha kushangaza idadi ya watafunzi na kiasi wanachopewa imepungua..hebu nielimishe hapa ana maana gani??
 
Magari mengi dar maisha bora give a break is this my presidentwaa or somebody else????
 
Mi hapa nakubaliana na JK hata USA so wote wenye maisha bora....nani anabisha??????????????
 
Dakika 90 zimeshaisha, ziliongezwa dakika 15 na sasa tumebakiza dakika 5 za majeruhi.

Mpaka sasa naamini "Tanzania bila umasikini - Haiwezekani"
 
Naona JK kapigwa swali (via email) kuhusu safari zake za nje ya nchi na manufaa yake!
 
anaulizwa kuhusu manufaa ya safari za nje. Amefanya safari akiwa na shabaha ya kuonana na mkuu wa nchi.
 
Angeulizwa juu ya ongezeko la wachina Tanzania... Dah, muda umeisha. Bado sekunde kadhaa
 
Baada ya hii Q and A session, kuna haja ya majibu yake yote kuwekwa kwenye TRUTHOMETER, asije akawa anatupiga mchanga wa macho na majibu yake. Maana inaonekana amefanya homework kidogo ya sectoral stats.
 
Nyani Ngabu kweli mkuu, huyu jamaa anahusudu misaada saaana. anasema safari zake ni kusaka misaada!
 
Hivi kwa nini Tido Mhando na uzoefu wake wote UK haulizi maswali ya maana; ina hakujifunza kitu alipokuwa huku muda wote.....

Kila kitu ni tumesaidiwa, tumesaidiwa tumesaidiwa...duh...
 
Subiri magazeti kesho yatakavyopamba hii story.
 
Back
Top Bottom