Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Du tuna rais genius sana jamani, anajua mpaka majina ya magenerator tulionayo! umbali wa barabra zote tunazojenga na wafadhili wake
 
Huyo jamaa wa mwanza ni nani, anayelalamikia uhuru, eti kuna uhuru tz
 
Je tuna raisi zoba au wananchi zoba?

Raisi anatoka kwenye pool ya wananchi. Viongozi wetu ni akisi yetu sisi wenyewe wananchi. Sasa tumia maarifa yako ya kawaida kujua kama tuna raisi zoba au wananchi ndo mazoba
 
Wakati anaingia madarakani alisema "I am firm on issues" sasa sijajua issues zipi alizo firm!?
 
Tido kamuuliza swali juu ya ushauri wa Sitta kwamba rais amekuwa mpole mno.
 
watu kutoka dar au nje simu zao hazitapokelewa --si unajua wao ndo wenye info zote??

Nataka kukubaliana nawe. Hivi inawezekana kweli mpiga simu wa Ujiji na Mwanza akapata line ya kumuuliza swali Raisi lakini wa hapa hapa Jijini akakosa?? Kuna namna? Ama hapa Dar wananchi wamedharau na hawataki kumuuliza maswali raisi???
 
anataka magazeti yafungiwe, anataka rais asiongee 'live' akajulikana udhaifu wake
inaonekana liliwekwa kwa ajili ya kujisifia na kutoa vitisho
kasema yeye anapenda watu wawe huru, lakini chombo cha habari kikijaribu kuvuruga amani kitaona
"chombo cha habari kijaribu kione- vitisho"
 
Nataka kukubaliana nawe. Hivi inawezekana kweli mpiga simu wa Ujiji na Mwanza akapata line ya kumuuliza swali Raisi lakini wa hapa hapa Jijini akakosa?? Kuna namna? Ama hapa Dar wananchi wamedharau na hawataki kumuuliza maswali raisi???
wanajua watapigiliwa msumari
 
Back
Top Bottom