Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini unajua kwamba yuko hapa kutuzuga tuYani kanikata kabisaa, anaanza kuulizia issues za mechi za Ulaya?
watu kutoka dar au nje simu zao hazitapokelewa --si unajua wao ndo wenye info zote??Ameongeza dakika 15. Sijasikia swali toka Dar au nje ya nchi
wapiga kura zobaJe tuna raisi zoba au wananchi zoba?
Je tuna raisi zoba au wananchi zoba?
msaniiwapiga kura zoba
watu kutoka dar au nje simu zao hazitapokelewa --si unajua wao ndo wenye info zote??
inaonekana liliwekwa kwa ajili ya kujisifia na kutoa vitishoanataka magazeti yafungiwe, anataka rais asiongee 'live' akajulikana udhaifu wake
wanajua watapigiliwa msumariNataka kukubaliana nawe. Hivi inawezekana kweli mpiga simu wa Ujiji na Mwanza akapata line ya kumuuliza swali Raisi lakini wa hapa hapa Jijini akakosa?? Kuna namna? Ama hapa Dar wananchi wamedharau na hawataki kumuuliza maswali raisi???