Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Maisha bora maana yake imebadilishwa na JK hakumbuki nini aliahidi kweneye kampeni anasingizia hakuandaa ilani ya CCM
Hivi kuna barabara ambayo tumejenga ambayo hatukusaidiwa?
hivi safari ya raisi nje inacost kiasi gani kaenda marekani kuomba msaada wa million70 kwa ajili ya vendarua au sijamwelewa
dakika 90 + za majeruhi !!!!!! mmeelewa nini????
Walau kajaribu, lakini nadhani hii ilikuwa strategy.
Kumbe anajua Kagoda hajaulizwa? Hahahahahahaha