Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Eti JK anasema ukijifungia ndani hayo yote (misaada) utaipata wapi?!..
 
Hitimisho lake sasa...

Nasubiria magazeti yatakavyompamba!
 
hivi safari ya raisi nje inacost kiasi gani kaenda marekani kuomba msaada wa million70 kwa ajili ya vendarua au sijamwelewa
 
Mwenyewe eti anadai mwaswali yalikuwa "maswali kwelikweli"...Lol...duuuh....
 
hivi safari ya raisi nje inacost kiasi gani kaenda marekani kuomba msaada wa million70 kwa ajili ya vendarua au sijamwelewa

ili kujua hizi safari zinamanufaa watuwekee gharama na safari hizi na interest tutakazotumia kulipa hii misaada/ kumbukeni tutalipa neno msaada lisituzuge.
 
Walau kajaribu, lakini nadhani hii ilikuwa strategy.

Kumbe anajua Kagoda hajaulizwa? Hahahahahahaha
 
Invisible

hii programme haiendelei next week mana JK kasema tutaendelea mbele ya safari..au kamaanisha nini?

@ Nyani abiziani, thanx for the link mana nimeweza kusikiliza sauti ya JK.
 
Walau kajaribu, lakini nadhani hii ilikuwa strategy.

Kumbe anajua Kagoda hajaulizwa? Hahahahahahaha

Aliulizwa swali la kagoda tena mwulizaji akamwambia wahusika ni rafiki zake ndio maana anawakumbatia, hakujibu akang'ang'ania richmonduli.
 
wauliza maswali hawakupewa maswali ila wana CCM wengi wamejionyesha tena kwamba wao CCM ndiyo ya kwanza badala ya Tanzania .Sasa anajipigia kampeni sasa . Wacha tumsikilize sisi .
 
Back
Top Bottom