Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

AT LAST umeamua kubadili na kujiita julius.kudos bro!vp umeona jamvini kuna so many Ngabus,yah?

NB,mazee wanasema jina lako ni J.M?KWELI?

Kina nani hao wanaosema? Wataje kama huogopi
 
Julius Magembe bana....sio Maghembe
ok,since you hv decided to display u rself(9robably unafuata nyayo za J.M wa kwa michuzi),rusha pic yako tuprove you are not as short as him
 
ok,since you hv decided to display u rself(9robably unafuata nyayo za J.M wa kwa michuzi),rusha pic yako tuprove you are not as short as him

U prove nini sasa? Si waulize tu hao wanaonijua uliodai wanasemaga mimi jina langu ni JM....
 
U prove nini sasa? Si waulize tu hao wanaonijua uliodai wanasemaga mimi jina langu ni JM....
nawaogopa mkuu wangu!tuyamalize,watakuja wenyewe wakipitia hapa.wana vimbelembele sana.ila umewamaliza safari hii.............
 
Kheeeee heeeeee heee!
Safi sana

Sasa safi sana ya nini? Ni watu wenye akili fupi kama ya kwako watakaoamini jumla jumla kuwa Julius Magembe ni jina langu la kweli. What if it is just a fictitious name created to be used only when communicating with people I meet here? Ever thought about that?

Don't you ever ever underestimate me. I know what I'm doing.
 
mi naona hakuna mtanzania aliyeuliza jipya zaidi ya maswali yale yale ambayo yanaulizwa kila siku bungeni na pia majibi yote yalishajibiwa bungeni natumai next time wataulizwa mswali ya matatizo yaliyoshindikana hicho ndicho tunachotakiwa kumuulizamheshimiwa siyo maswaliyaliyokwisha jibiwa bungeni kama kuna tatizo lisilokuwa na jibu kiongozi anakwamisha maendeleo ndhani hayo ndiyo maswali ya kumuuliza atupe jibu tukirudia maswali twapoteza nafasi hii
 
hakuna jipya,
Namuunga mkono Lipumba aliposema kuwa alitakiwa awepo na watu wa kumuuliza maswali ya kufuatilia majibu yake.
Pia kama walivyosema hapo juu, maswali na majibu yanafanana kabisa na tunayoyafahamu, ilitakiwa kuanzia hapo na kuuliza sasa maswali ya maana.
Bahati mbaya simu za mkononi, sms zilikuwa haziendi kabisa.
Mimi sms zangu hatimaye zimerudi zimeshindwa kwenda!!
Naruhusiwa kuhisi kuwa kulikuwa na maswali maalum yaliotakiwa kumfikia???
 

Tuko kwenye frequency moja kwamba mabadiliko hayawezi kuja Tanzania bila kurekebisha katiba na baadhi ya sheria, niliwahi kumjibu kelly kuwa watu walionje wanaweza kupetition kuwa kutoruhusiwa kwa watu waliopo nje kupiga kura ni ukiukwaji wa haki zao za msingi zilizoanishwa na katiba.

Kuhusu resources zipo nyingi tu ila attitude za watu ndio kama unavyosema waliopo kwenye nafasi wengi wao hawajui kitu au wanajifanya hawajui. Sheria angalau ingetungwa hususani kwa ajili ya black empowerment. I can tell you mzungu anakuja leo anaenda Benki za kigeni anapata mkopo mnene within a week with very weak collateral or without na wanaoanalyse ni sisi waswahili wenyewe,

Ngozi nyeusi nenda na collateral yako utaaambiwa this and that and finally no. This is what we need to change. Ufisadi unakuja kwa ajili hiyo watu wanajiuliza kama hatuangliwi na nchi yetu basi tuibe that is it

Lets make our country a paradise where we shall share the national cake equally and not a national park where every animal is afraid of another animal and where thee concept of survival fot ana animal is the very day in front of it ( kama ambavyo majority ya watanzania wanaishi)
 
Mtanganyika!
Nakushukuru mara hamsini. Hilo la town hall hatadhubutu kwani hao washauri wake ni vilaza akina RA na Salva. Kama Mkwere kwa miaka 4 hajaweza kuwa na a live Q&A na waandishi wa habari hilo la town hall haliwezi. Hata juha Mwinyi aliwahi kufanya vizuri kuliko huyu MATAONYA alipokuwa anakutana na watu wamweleze shida zao. Of course alikuwa na Kamanda wake Naibu Waziri Mkuu Lytonga. Kama JK hawezi nashauri amtafute Naibu pRESIDA lakini sio yule pimbi kutoka unguja! Hakuna mabadiliko wote ni usanii na upuuzi mtupu!
 

Inaelekea katika mambo yote aliyouliza Tido hilo la spika ndilo lilikonga moyo wako!! Hongera kwa kusimama kidete kumuunga mkono mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…