Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Wewe una lako jambo! Wengine tulikuwa tume-miss tabasamu na kicheko chake. Ametupa raha sana!!🙄

God Forbid!
This guy has got to deliver something new to us bana!
We are fed up with the same hullah-ballooo everyday!
Screw his stupid smile and show us he can do something for the Tanzanians.Sikatai he is did something but he hasnt delivered as we all expected!
 
Did you expect anything from this guy??? No wonder the he swept 80 % in the general election.

Ile miaka 10 ya u-foreign Minister ilikuwa tosha kuona uwezo mdogo wa mheshimiwa na kujua kama atamudu au lah. Sasa ni too late, tuandike maumivu mpaka 2015............!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Why mpaka 2015? Tumtoe next year 2010. Hatuwezi kuvumilia uozo wa kulindana kwa miaka mingine 5
 
Kuna watu wanakuja na hadithi kwamba mkuu wa kaya did well jana .No way ujanja ujanja wao tu . Kwanza Tido was in aay helping kama kumuongoza katika issues . Issue ya waalimu Tido aliivalia njuga sana na kukazia maneno kama mpole nk .

Kuna mtu anamshangaa Tido kwamba hana quality zile za BBC , kaka mitanzania mna shida kubwa mkisha pata na kuendeleza kulamba miguu ya wakubwa ili msije katiwa . Tido nilijua hawezi kusimamia kile chombo kiwe cha wote na nasema ndiyo wote walio muuliza JK maswali ni kijana wa Kigoma pekee alikuwa straught wengine ni wana CCM which makes have so many questions. Kuhadithia badala ya kujibu swali bado anataka kuendelea kuvunja historia na rekodi zake mwenyewe .Hapakuwa na swali serious na Tido was just helping hakuna zaiid ya usanii.
 
JK alinishangaza wakati anajibu swali aliloulizwa kwa nini safari za nje ni nyingi? Alijibu kuwa huwa anaenda kutafuta msaada (Kuomba omba) na ni lazima aende yeye mwenyewe physically ili aweze kupewa hiyo misaada.

Hivi kwa kweli rais kama anamtazamo wa kuomba omba na ndio kiongozi wa juu kabisa wa nchi sasa anategemea nini kwa wananchi wake. Ndio maana kila siku atasikia kuna njaa vijijini kwa sababu watu hawataki kujishughulisha.

Rais JK anapaswa aache kabisa hiyo dhana ya kuomba omba na akae na wataalamu wa fedha na uchumi ili waweze kumpa strategic plan ambazo zinaweza kuliokoa taifa letu kwenye ili janga la kutegemea misaada kutoka nje. Nchi hii ina Resources nyingi sana na haipaswi kuwa omba omba.

Kuna msemo kwamba "Maji ya kuomba hayakati kiu"
 
Mimi nafikiri Kikwete did well jana,hakuna cha ziada nilichokuwa nakitarajia.Kwahiyo kwangu mimi naona alikonga moyo wangu kwasababu nilipata nilichotarajia.

Mlitaka aseme nini zaidi ya vile alivyosema? mngemuweka maneno mdomoni hayo mnayoyataka! Kama kiongozi wa nchi na kwa namna ambavyo mambo yamekuwa yakiendeshwa na serikali yake asingeweza kuja na kitu chochote mbadala kupinga misimamo ambayo tayari serikali yake imeiweka.
Kwahiyo ni vigumu kutegemea majibu ya kufurahisha genge wakati akijua fika kwamba mambo yanavyokwenda jikoni si ya kufurahisha genge.Kwahiyo alichokifanya tena katika style nzuri ya kutoa maelezo marefu na kutupa historia hata pale tulipokuwa tunaijua vizuri hisoria hiyo ilikuwa ni katika kutetea hayo tunayoyalamikia kila siku humu na kwenye majukwaa mengine.

Mlitegemea aseme serikali yangu ilikosea katika EPA (tulipaswa kufanya hili na lile) na pia katika Richmond wahusika wakuu wote watafikishwa mahakamani hivi karibuni! Eboo! Kilichozungumzwa ndiyo hali halisi ya mambo yanavyoendelea na Rais amejitahidi sana jana kutetea kila ambacho serikali yake imefanya hata kama mnaona hakuna kilichofanyika.

Tunakutakia afya njema JK!
 
Na mrudi nyumbani mpige kura, maongezi ya kutumia keyboard hayatabadili kitu.

A+

Sio warudi nyumbani inabidi wanannchi wajue kuwa daftari la kudunu la wapiga kura linarekebishwa hivi sasa ili kuwawezesha ambao hawakujiandikisha mwaka 2004 kufanya hivyo, waliohama kujiandikisha kwenye sehemu ambazo wamehamia waliopoteza shahada kupata shahada mpya na waliokufa kuondolewa kwenye daftari ili kuondoa kura za maruhani.

Wangapi humu ndani tunajua kuwa zoezi hilo limeanza na linaendelea , zaidi ya kudonoa kwenye keyboards zetu kutaka mabadiliko.

You must be part of the change you need, are you??????

What have you done, have you asked your neighbour, your friend, your relative or even your enemy to register so that he can vote???

fvck kurudi nyumbani, usawa huu harudi mtu. Kiuchumi kidogo, incompetencies everywhere halafu joker kama huyu ndiye rais na watu wanamsifia.Nikirudi nitakuwa sucked into mediocrity tu nisiwe na mchango wowote, not now, maybe later.
 
Why mpaka 2015? Tumtoe next year 2010. Hatuwezi kuvumilia uozo wa kulindana kwa miaka mingine 5

Umtoe wewe mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM? Ama mnataka kutuletea NARC yenu hapa mtulaghai kama Wakenya 2004? Mbadala/Upinzani ndio hivyo hadi sasa wamekuwa mabingwa wa kuharibu golden chances....
 
fvck kurudi nyumbani, usawa huu harudi mtu. Kiuchumi kidogo, incompetencies everywhere halafu joker kama huyu ndiye rais na watu wanamsifia.Nikirudi nitakuwa sucked into mediocrity tu nisiwe na mchango wowote, not now, maybe later.

Only mediocre malimbukeni wa kwenda ulaya ndio wanaweza kuwa na mtizamo mufilisi kama huu wako...

Kama huna guts/uthubutu wa kutekeleza WAJIBU wako wa kurudi nyumbani iweje upigie kelele HAKI ya kuwa na kiongozi bora?

omarilyas
 
Only mediocres ndio wanaweza kuwa na parochial minds, I am a citizen of the world and I choose where to live, that does not mean I don't value my Tanzanian roots.

Wewe si wa kuniambia nini wajibu wangu ni nini, na kurudi nyumbani si tija by the way huja address point yangu kwamba unaweza kurudi nyumbani ukawa an unemployed burden, au ukawa umerudi umekuwa sucked into ufisadi, people have to plan ahead na tuache hizi habari za unrealistic sentimentalism. Hapo hapo nyumbani kuna watu wanaomba tusirudi kwani tukirudi tutaharibu soko la ajira ambalo lina employment finyu tayari, hapo hapo nyumbani kuna watu wanaomba tusirudi kwani hawana uhakika kama tukirudi tutakuwa na msaada financially kama tulio nao sasa.

Just because I choose to live abroad haimaanishi sina haki ya uraia, na wewe au mtu mwingine yeyote hawezi kuninyang'anya haki ya uraia ya kudai uongozi bora.Kama unataka umasikini wetu wa kiuchumi ukuletee umasikini wa roho kalagabaho, mimi siko tempted wenzetu wanaojua demokrasia na wenye maendeleo raia wanapiga kura worldwide, sasa utawaambia hawana haki ya kupiga kura?
 
Point hapa ni kuwa sisi wote tuwe sehemu ya mabadiliko ambayo tunayataka, sio kwamba alikuwa anakuambia wajibu wako lakini nadhani ili mabadiliko yatokee lazima tupige kura kuukataa uongozi uliopo. Ukiwa nje bahati mbaya sana sheria hairuhusu kupiga kura, Watu kama ninyi mko wangapi ambao mnataka mabadiliko? Nadhani ni wengi sana umesoma kuwa kuna shahada za kura milioni moja zimechomwa ( maana yake hawawezi kupiga kura) hizo na za watu wa nje zinaweza fika 1,500,000.

Kura millioni moja na nusu kwa wapiga kura millioni kumi na ushehe can make a very big difference.

My humble plea to you is that be part of the change we need.

Tanzania is not poor kama unavyofikiri, resources zipo nyingi tatizo ni uongozi na incomptences unazozisema zinatokana na uongozi. Tunaona resources zinakuwa wasted, ushauri mbaya hatusemi kitu wala hatufanyi kitu. Naona ni bora urudi nyumbani Ukirudi nyumbani mawazo yako yanaweza kumake a big difference.
 
Hivi Kikwete akifanya vizuri, watu mtarudi ???
 
Your esteemed and well refined views find the greatest of understanding from my person. Naelewa challenge iliyopo mbele yetu kama ulivyoileta, naomba na wewe uelewe position yangu kama nilivyoileta despite my less refined presentation.

Cha kufanya hapa ni kuishinikiza serikali ili watanzania walio nje ya nchi waweze kupiga kura.Wanapiga kura Wa-Iran despite their country's iron grip (Iran filters it's internet access, tanzania does not).

Tukiruhusiwa kupiga kura hizi habari za watu wa nje hawa participate katika demokrasia kama inavyotakikana zitamalizwa.

Hizo resources zinataka either uwe na mtaji, au uje bongo na kuukumbatia ufisadi.Otherwise utaleta biashara za "asikilimu".Hatutaki kuukumbatia ufisadi ndiyo maana tunatafuta hiyo mitaji ili tukirudi turudi sio tu na jeuri ya kukataa kucheza ngoma ya ufisadi, bali pia kuweza kuwasha moto utakaounguza ukoma huu.

Inawezekana nikirudi nyumbani sasa hivi baada ya muda mfupi hata internet nisiweze ku afford, na swala la kwamba mawazo yangu yanaweza kusaidia likazidi kwenda mrama kwa sababu at least leo nimeweza kuweka pressure watu wa African Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania Chapter waweke uozo wa nchi yetu - waliokuwa wanaubania - wauweke online tuuone.Hatimaye wameweka.Kwa hiyo mchango unatolewa tu hata kama upo nje, ili mradi nia iwepo.

Na kuna watu kibao wako bongo hawana hata muda wa kuangalia documents kama hizi au kufuatilia maendeleo ya nchi kwa ujumla.

Inawezekana ningekuwa nyumbani ningekuwa nacheza na vibatari saa hizi lol.

Bottom line mchango popote, even on some Tibetan slopes on the way from Lhasa.It's a flat world out here.
 
Last edited:
hahahah!afta so mene NGABUZ,finally umeamua kubadili jina!most appreciated bro.....!

i hope this is the real name of yours.JM

Sasa JM ndio nini? Si uliandike tu jina lote? You already know I ain't never scarred.....
 
Back
Top Bottom