Only mediocres ndio wanaweza kuwa na parochial minds, I am a citizen of the world and I choose where to live, that does not mean I don't value my Tanzanian roots.
Wewe si wa kuniambia nini wajibu wangu ni nini, na kurudi nyumbani si tija by the way huja address point yangu kwamba unaweza kurudi nyumbani ukawa an unemployed burden, au ukawa umerudi umekuwa sucked into ufisadi, people have to plan ahead na tuache hizi habari za unrealistic sentimentalism. Hapo hapo nyumbani kuna watu wanaomba tusirudi kwani tukirudi tutaharibu soko la ajira ambalo lina employment finyu tayari, hapo hapo nyumbani kuna watu wanaomba tusirudi kwani hawana uhakika kama tukirudi tutakuwa na msaada financially kama tulio nao sasa.
Just because I choose to live abroad haimaanishi sina haki ya uraia, na wewe au mtu mwingine yeyote hawezi kuninyang'anya haki ya uraia ya kudai uongozi bora.Kama unataka umasikini wetu wa kiuchumi ukuletee umasikini wa roho kalagabaho, mimi siko tempted wenzetu wanaojua demokrasia na wenye maendeleo raia wanapiga kura worldwide, sasa utawaambia hawana haki ya kupiga kura?