Maswali magumu ambayo wanaume huwa wanauliza wanawake

Wanaume wa Ushirombo ndo wanauliza maswali haya ya kipumbavu.
Wanaume halisi tunauliza "UNATOA HUTOI?"
 
Mbona nyuzi kama hizi ziko nyingi,ina maana huwa hamuoni au?
 
Maswali ya wavulana hayo mnaokutanao, Mi niulize hayo yanisaidie nini (kila mtu atajifanya Gentleman hapa)
 
Yan apo sijaona swal gumu...je akikuuliza kua umewah kutoa tigo ??au siku nikitaka tigo utafanyaje?
 
hakuna demu anaejibu swa li la umri wa kutolewa bikra
 
Hapo hakuna hata SUALI moja ninalouliza
 
Yanasaidia ktk kupredict future😀
 
Niliwahi kuwa na Demu mmoja mchina alikuwa very open, aliniambia mabwana zake wote na kila kitu,mpaka sijui bikra kila kituu
 

Kweli kabisa mkuu
 
Mungu mwema kunipitisha kwenye uwanamme moja kwa moja maana sinaga mda wa maswali kama hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…