Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Nani aliye andika Biblia?Kama Mungu hayupo ,jibu haya maswali
31 “Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia?
Waweza kulegeza kamba za Orioni?
32 Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake,
au kuongoza Dubu na watoto wake?
33 Je, unajua sheria zinazotawala mbingu?
View attachment 2604212
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu maswali mbona mnaleta Janja janja sanaNani aliye andika Biblia?
Mimi siwezi kuufunga huo mnyororo wa galaxy.Jibu maswali mbona mnaleta Janja janja sana
Ayubu 38
31 “Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia(GALAXY)?
Waweza kulegeza kamba za Orioni?
32 Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake,View attachment 2604216
Hizo kamba za orioni wala sizijui.Jibu maswali mbona mnaleta Janja janja sana
Ayubu 38
31 “Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia(GALAXY)?
Waweza kulegeza kamba za Orioni?
32 Waweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake,View attachment 2604216
Kama huweziMimi siwezi kuufunga huo mnyororo wa galaxy.
Wewe unaweza?
unatafuta ukweli adje sasa kwa kumuhoji mwanadamu mwenzako? Soma vitabu vya dini ndo vina majibu yako.... Likija suala la imani sio mabishano ya mechi za VPL mkuu.Point ni kutafuta ukweli uko wapi na hadithi za uongo ziko wapi.
kutokuamini jambo la kiroho moja kwa moja ni kuchagua kupinga uwepo wake. Maanaimani ya kiroho haijengwi na mwili bali imani ya kiroho huujenga mwili.Atheism is not a choice, it is just an obvious conclusion of accepting the reality.
Vitabu gani vya dini?unatafuta ukweli adje sasa kwa kumuhoji mwanadamu mwenzako? Soma vitabu vya dini ndo vina majibu yako.... Likija suala la imani sio mabishano ya mechi za VPL mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu wa mchongo.
Mfano labda kwako wewe kipi kilicho na umbo ambacho hakijaumbwa.Unahakikishaje kila kilicho na umbo lazima kiwe kimetengenezwa na kuumbwa?
Labda nikuulize wewe ni nini chanzo cha ulimwengu na vilivyomo ulimwenguni.Unaelewa kwamba dhana nzima ya "chanzo" kufuatiwa na "matokeo ya chanzo" ni njozi inayotokana na ujinga wako tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km kitu hujui kaa kmyaa.Mimi kwa uelewa wangu najua akili zetu za binaadam ni ndogo sana kujua ukuu na sababu za Mungu kufanya haya yote tunayoyaona hivyo huko mbinguni ndio tutajua. Ni sawa na kuchukua maji ya bahari uhamishie kwenye kishimo kidogo
Bado hujathibitisha kuwa Mungu yupoo.Mungu ni zaidi ya ufahamu kinachowaponza wengi ni kutumia akili kumjadili Mungu,unadhani ukisoma biblia Basi umeshamjua Mungu la hasha.kiufupi Mungu ni ufahamu ambayo ni very infinite, Mwanadamu ni sehemu ndogo ya ufahamu huo hutaweza kumjua Mungu simply kwa kutumia logic.By The way Binadamu tuna linear thinking Ambapo tuna starting point na end point.Na ndio Maana swali Kubwa la Binadamu, Mungu alitokea wapi Nani?, alimuumba? .Kwa mtindo huu huwezi kutoboa.Kimsingi Amini kwamba Kuna Nguvu Kubwa Katika ulimwengu wote inayotawala kila kitu isiyo na upinzani .
Nimejua kupitia maandiko je ww umejuaje Mungu hayupo.Kama hujui umbo la Mungu, Umejuaje kwanza kwamba huyo Mungu yupo??
Utasemaje hujui umbo la kitu, Halafu useme kipo???
Uko sawa kiakili kweli??
Haya ulinwengu uliumbwa na nani??Ulimwengu unachanzo kwasababu kilicho na umbo lazima kiwe kimetengenezwa au kuubwa
Ulimwengu ni mjumuiko wa vilivyomo ardhini na juu ya ardhi.
Kuumbwa ni nini?Mfano labda kwako wewe kipi kilicho na umbo ambacho hakijaumbwa.
Labda nikuulize wewe ni nini chanzo cha ulimwengu na vilivyomo ulimwenguni.
Sasa utasemaje kuwa Mungu yupo, na hakuna ajuaye hata umbo lake??Mungu hana chanzo.
Kwasababu hakuna ajuaye umbo la Mungu
Mungu hajaumbwa kwasababu yeye ndiye muumba wa viumbe vyote
Kwamba unanuwezo wa kujua uwongo kwenye vitabu kuliko ukweli? haya niambie uwongo uliopo kwenye bibbleVitabu gani vya dini?
Vitabu vingi vya dini tumeshaonesha uongo wake kwa kuweka contradictions zake hapa.
Taja kitabu cha dini unachoona hakina uongo.
Shangaaa nawee mwenzangu.Kama hujui umbo la Mungu, Umejuaje kwanza kwamba huyo Mungu yupo??
Utasemaje hujui umbo la kitu, Halafu useme kipo???
Uko sawa kiakili kweli??
Thibitisha uwepo wa Shetani?Mungu ndo shetani mwenyewe