MASWALI MAGUMU NINAYOJIULIZA PASIPO MAJIBU

ndo maswali magumu haya' maswali yako ya kawaida sema yanatia uvivu kuyajibu

1. ndio inawezekana ..hasara ni kama kupata magonjwa kurahisi, kinyaa n.k faida inategemea ntu na ntu

2.ndio, ila inategemea na nguvu/hamu walizo nazo wapo wanaobaki na hamu hadi miaka 70+ ila wengine hamu hukata mapema na kubaki wakipiga mdg mdg

3.inategemea na khali ya mjamzito wapo wanaofanya hadi siku moja kabla ya kushusha, wapo wanao acha mwezi 1 baada ya mimba kutegemea na changamoto ya iyo mimba.

4.miezi mitatu baada ya kujifungua ama siku arobaini ila wapo wanao oiga game mapema zaidi ha hapo kutegemea na maumbile ama hofu ya mmewe kuchepuka
 
1. Je inaruhusiwa kufanya mapenzi wakati mwanamke akiwa katika hedhi? Zipi faida zipi hasara?

2. Wanandoa wanapokuwa wazee huendelea kufanya ngono?

3. Je mwanamke anapokuwa mjamzito ni kipindi gani anaruhusiwa kufanya ngono na kipindi gani haruhusiwi.
Pia,
Akijifungua baada ya muda gani anaruhusiwa kufanya ngono?

Wanajamvi nisaidieni majibu, jibu swali lolote ambalo una ufahamu nalo tafadhali ila kama huna jibu vunga.

Karibuni.
mleta mada cjui din yako w ni ipi ila kwenye DINI ya ISLAM hairusiwi hata kama ni mkeo wa ndoa@@@@maswali mengin utajibiwa na wanakamati sioooo[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
 
1. Je inaruhusiwa kufanya mapenzi wakati mwanamke akiwa katika hedhi? Zipi faida zipi hasara?

2. Wanandoa wanapokuwa wazee huendelea kufanya ngono?

3. Je mwanamke anapokuwa mjamzito ni kipindi gani anaruhusiwa kufanya ngono na kipindi gani haruhusiwi.
Pia,
Akijifungua baada ya muda gani anaruhusiwa kufanya ngono?

Wanajamvi nisaidieni majibu, jibu swali lolote ambalo una ufahamu nalo tafadhali ila kama huna jibu vunga.

Karibuni.
hilo ni jibu la swali lakwanza mpenzi mtazamaji@@@@mengin nawachia wahenga
 
ndo maswali magumu haya' maswali yako ya kawaida sema yanatia uvivu kuyajibu

1. ndio inawezekana ..hasara ni kama kupata magonjwa kurahisi, kinyaa n.k faida inategemea ntu na ntu

2.ndio, ila inategemea na nguvu/hamu walizo nazo wapo wanaobaki na hamu hadi miaka 70+ ila wengine hamu hukata mapema na kubaki wakipiga mdg mdg

3.inategemea na khali ya mjamzito wapo wanaofanya hadi siku moja kabla ya kushusha, wapo wanao acha mwezi 1 baada ya mimba kutegemea na changamoto ya iyo mimba.

4.miezi mitatu baada ya kujifungua ama siku arobaini ila wapo wanao oiga game mapema zaidi ha hapo kutegemea na maumbile ama hofu ya mmewe kuchepuka
Ahsante sana nmekupata, pole pia kwa kukutia uvivu
 
Back
Top Bottom