brightmind
Member
- Dec 24, 2018
- 72
- 103
!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mleta mada cjui din yako w ni ipi ila kwenye DINI ya ISLAM hairusiwi hata kama ni mkeo wa ndoa@@@@maswali mengin utajibiwa na wanakamati sioooo[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]1. Je inaruhusiwa kufanya mapenzi wakati mwanamke akiwa katika hedhi? Zipi faida zipi hasara?
2. Wanandoa wanapokuwa wazee huendelea kufanya ngono?
3. Je mwanamke anapokuwa mjamzito ni kipindi gani anaruhusiwa kufanya ngono na kipindi gani haruhusiwi.
Pia,
Akijifungua baada ya muda gani anaruhusiwa kufanya ngono?
Wanajamvi nisaidieni majibu, jibu swali lolote ambalo una ufahamu nalo tafadhali ila kama huna jibu vunga.
Karibuni.
hilo ni jibu la swali lakwanza mpenzi mtazamaji@@@@mengin nawachia wahenga1. Je inaruhusiwa kufanya mapenzi wakati mwanamke akiwa katika hedhi? Zipi faida zipi hasara?
2. Wanandoa wanapokuwa wazee huendelea kufanya ngono?
3. Je mwanamke anapokuwa mjamzito ni kipindi gani anaruhusiwa kufanya ngono na kipindi gani haruhusiwi.
Pia,
Akijifungua baada ya muda gani anaruhusiwa kufanya ngono?
Wanajamvi nisaidieni majibu, jibu swali lolote ambalo una ufahamu nalo tafadhali ila kama huna jibu vunga.
Karibuni.
Mkuu The list siku hizi ndo unajiita hivyo? Hebu fungua uzi mwingine wenye madini kama ule wa siku ileee, empty set!Utashangaa kuna watu wanamjibu..kitunguu swaum!
Ahsante sana nmekupata, pole pia kwa kukutia uvivundo maswali magumu haya' maswali yako ya kawaida sema yanatia uvivu kuyajibu
1. ndio inawezekana ..hasara ni kama kupata magonjwa kurahisi, kinyaa n.k faida inategemea ntu na ntu
2.ndio, ila inategemea na nguvu/hamu walizo nazo wapo wanaobaki na hamu hadi miaka 70+ ila wengine hamu hukata mapema na kubaki wakipiga mdg mdg
3.inategemea na khali ya mjamzito wapo wanaofanya hadi siku moja kabla ya kushusha, wapo wanao acha mwezi 1 baada ya mimba kutegemea na changamoto ya iyo mimba.
4.miezi mitatu baada ya kujifungua ama siku arobaini ila wapo wanao oiga game mapema zaidi ha hapo kutegemea na maumbile ama hofu ya mmewe kuchepuka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hatari sanawe piga mechi, hata mkifika peponi endelea kumnyoosha tuu.