Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-World

Umelipwa sh ngapi?
 
Nchi itakuwaje na vigezo nje ya IGA?! Mikataba midogomidogo inawezaje kuwa na nguvu zaidi ya mkataba mama?! Mikataba midogo ni kwa ajili ya utekelezaji wa mkataba mama (IGA) siyo kupingana nao.
Itoshe tu kusema mkataba mama ushasainiwa, tayari ni binding. It's done.
 
Professor.., daaha asaini yeye na Katibu wake halafu Dubai jamaa hawajulikani. Yaweza kuwa tunaingia mkataba na dalali wa Dp World., an then dalali anakuja kuingia mkataba na Dp World mwenyewe. Baadhi ya wasomi wetu ni mzigo sana kwenye Taife letu.
 
So sad , nakumbuka Spika alivokua anatetea mkataba huo.
Hivi bandari ni Union matter?
 
Hili paper lazima ukune UBONGO maswali ya HEAVYWEIGHT haya.
 
Watanzania wamelala wanasubiria kubeti,kushabikia simba na yanga ama kula tunda kimasihara Basi Kwisha habari yake.
Yaani saivi tuna wakoloni weusi inatakiwa watu wawe na uchungu na nchi yao na je kizazi Chao wataishije,hao viongozi wote watt wao Wana uraia wa nje huku wananyonya wajinga Basi.


Yaani hapa watu wangejaza road hakuna Ilo Jambo kufanyika. Kusema kweli Hawa jamaa hawana uchungu na nchi yetu. Haya yote Ni kik akapelekea,yaani watu wa pwani bana sijui Wana akili gani.
Afrika kwanza tuliharibiwa tulipopoteza identity yetu
 
Hahahah Mama hachomoi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kama Luhaga kesho akisema nchi iliuzwa utamlaumu au atoke CCM awasusie nyani wamalize mahindi?
 
Aendelee tu. Tumemuweka pale kwa kazi maalum.

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Huo uwezo wa kumuweka Mpina unautoa wapi wewe kibibi!.

Hiyo karamu mmeila ila inawasokota matumboni, dakika yoyote mtaanza kuiharisha, sasa hivi mmebana huko nyuma kwenu kwa mkono wewe na shangazi yako!.
 
Nitarudi kusoma aisee

Nimefika nusu nimekimbilia hospitali kichwa kinauma
Wewe ni moja ya watu ambao hamuwezi kuchakata mambo,yaani uko kwenye kundi la kupelekwa kokote kiongozi atakako,bila kuhoji.Yaani ni wa kuburuzwa daima na milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ