Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-World

Rais,Waziri,Katibu mkuu wa wizara wote ni Wazanzibar+Waziri wa maliasili na utalii ni mkwe daah.
 
Huyu siyo nyumbu
 
Mpina amejitoa mhanga kupigania masilahi ya taifa la Tanzania. Anachukuliwa kama mwiba kwa akina Mwigulu na Spika hadi kunyimwa nafasi ya kuchangia mijadala nyeti bungeni, wanapewa zaidi akina Msukuma et al
 
Ninashukuru sana kwa mchango wa Luhaga Mpina. Ila shida yangu ni kwamba: Kwa nini wakati Mh. Mpina akiwa waziri, hii busara yake na uzalendo wake hatukuwahi kuiona, tunaiona sasa baada ya kutemwa kwenye uwaziri?
 
Ninashukuru sana kwa mchango wa Luhaga Mpina. Ila shida yangu ni kwamba: Kwa nini wakati Mh. Mpina akiwa waziri, hii busara yake na uzalendo wake hatukuwahi kuiona, tunaiona sasa baada ya kutemwa kwebye uwaziri?
Bus ara ya mtu unaipimaje ikiwa ww mwenyewe unaupande ,au DP world ilikuwepo kipindi cha magu akakaa kimya
 
Cdm watabisha kwa kuwa ni mwanaccm na alihudumu katika serikali ya jpm
 
Alitufumbua macho,sema tu 2025 sijui kama jina lake litarudi.Au ndo 2024 ataanza kusifia chama lake ili 2025 asikatwe.
 
Mtakumbuka kuwa mtu aliyekuwa wa kwanza kuufichua huu mkataba ni Mhe. Luhanga Mpina, huyu tumpe maua yake kwakweli ni mzalendo anayefaa kupewa cheo kikubwa kabisa hapa nchini
Alifichua lini?
Tukumbushe
 
Hapa Ccm Wanasonya Vichwa Chini Hasa Washenga Wa Mkataba
 
Huyu Mwamba ana akili na amebarikiwa sana sana maarifa mtambuka mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…