Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

Kuna tofauti gani kati ya kushirikishwa kuwekeza kwenye Kampuni kama hii na Matangazo wanayotoa watu wa Makampuni kama Vodacom kushawishi watu kununua share ?.
Hivyo hiyo Aim global inauza share zake maana yake ni Public Limited Company? Je! Imesajiliwa kwenye soko la hisa?
 
[02/03 14:54] Tonny Montana: What have you achieved so far in network marketing

Alot
1. Kwanza nimweza kumsomesha mdogo wangu yupo cbe Dodoma certificate
2. I have shifted from home to dar while living in an apartment which I pay 700k my self sinza
3.i have hired a house girl whom I pay her 50k ever month
4. Me and my family are healthy because of the company products na juz tu last born wetu Kapona ulcers because of the products
5. I have managed to meet with Alot of people and create a big team from which even if I won't be around still I will receive my earnings
6. Am socially and financially free


Kama si utapeli ni nini swagger yao eti nataka acha kazi niwe full time. Bullshit MI demu namtaka tuu nimle mzigo
 
Hivyo hiyo Aim global inauza share zake....?? Maana yake ni Public Limited Company..?? Je! Imesajiliwa kwenye soko la hisa..??
Hujanielewa ndugu nimekujibu kwamba all business ni matangazo kwanini matangazo ya Alliance yanakushangaza as if ndo business ya kwanza kutangaza?
 
Main

Earning is a progress...Earning thats much even more is the business plan(How the company compensate you). But sio kama unaanza na kuanza kulipwa that much... We all start from the scratc... then income ina increase more n more
Umeulizwa swali kwa kiswahili unajibu kwa kiingereza !!!!/
 
Hivyo hiyo Aim global inauza share zake....?? Maana yake ni Public Limited Company..?? Je! Imesajiliwa kwenye soko la hisa..??
Hujanielewa maelezo yangu ilikuwa ni kwann unashangazwa na swala la Alliance kufanya matangazo hali ni kila kampuni linafanya
 
Jibu kwanza maswali yake ndio tuendelee na mjadala,
Nadhani nimeongea kwa kiswahili fasaha na umenielewa..
Kama unaelewa kwanini makampuni yanafanya advertisement then una majibu. Tofauti ya MLM Companies ni kwamba wao wanafanya direct personal advertisements na sio through media
 
Jamani ogopeni utapeli ...


Hii ni ponzi scheme, ponzi scheme yoyote duniani na mbinguni ni scam " Utapeli" ..


Natoa rai mpuuzeni huyu na aina zozote za Network market mtakuja kulia.


Msiseme sikuwaambia
You don't knw what you are saying
 
Umeulizwa swali kwa kiswahili unajibu kwa kiingereza !!!!/
Nafikiri wew ni J.F Exprt Member right ? Maaana maswali yako hayana tija. Ni kama skio la kufa hata huwezi kusikia dawa. Englsh reply haijawa shida kwa aliyeuliza. Wew uko gizani. Sio lazima kumsukuma mtu huko.
 
Back
Top Bottom