Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

gari ina matunzo na anaitumia bi dada.

year of manufactured: 2003
engine type: vvti
engine capacity (cc) : 1790
location : morogoro town
price : 8.5m (fixed)
dar inakuja under guaranteed business only
n. b
haijawahi kuguswa popote (body wala engine)



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20180722-WA0049.jpg
    102.9 KB · Views: 77
Akiuza hiyo gari hata kwa M saba, ashukuru Mungu.
Kuhusu kuiuza Dar, sahau. 'Hakuna' mtu wa Dar anaweza nunua gari namba C (esp at that price). Ni bora anunue Vitz namba D kulilo Prado ya namba C. Namba ina matter sana kwa mteja wa Dar...
Ukisema uangalie plate number na si ubora/uimara wa gari totally you are wrong, kuna gari imepaki mtaani ni number DD ila ni unaweza ukashangaa imepata maswahibu gani na wakati kuna number b au c ni mpya kama imetoka yard.
note: mteja atatokea kokote si lazima Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiuza hiyo gari hata kwa M saba, ashukuru Mungu.
Kuhusu kuiuza Dar, sahau. 'Hakuna' mtu wa Dar anaweza nunua gari namba C (esp at that price). Ni bora anunue Vitz namba D kulilo Prado ya namba C. Namba ina matter sana kwa mteja wa Dar...
nyie ndo mnapigwa kiboya,nenda bandarini kweny mnada wa magari utakutana na gar chakavu balaa but mtu ananunu anasajili inakuwa na namba DN ila kimeo hatari kwa sababu ya kukaa muda mrefu bandarin....usikariri kwamba kila namba D ni mpya.
 
Hayo unasema wewe ila wateja wa magari Dar, wako tofauti sana. Ni kinyume na unavyofikiria. Nimeuza mikweche mingi huko nyuma, na wateja wengi walikuwa wanatoka mikoani kuja kununua.

Kama huamini, simama bara barani utafute gari namba A kama utazipata kwenye jiji la Dar. Ni za kuhesabu, nyingi zishatupwa mikoani. Siku ukiziona zimerudi Dar, basi zitakuwa ni in a form of scrap metal zikielekea kwenye viwanda vya kuyeyusha chuma.
 
Nyie ndo mnapigwa kiboya, nenda bandarini kweny mnada wa magari utakutana na gar chakavu balaa but mtu ananunu anasajili inakuwa na namba DN ila kimeo hatari kwa sababu ya kukaa muda mrefu bandarin. Usikariri kwamba kila namba D ni mpya.
Mnadavunakuaga lini kqka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point yako ni kwamba gari haiwezi kuuzika dar simply because ni plate number C?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
point yako ni kwamba gari haiwezi kuuzika dar simply because ni plate number C?

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba C zinauzika but bei yake huwa ni ndogo. Unapozungumzia gari No C, ni gari ya 2013 huko. Tayari hiyo gari imetumika miaka mitano (kuelekea 6) hapa nchini. Na gari ikishatumika muda huo hapa nchini, expect that to already be a scrapper. Hata kama gari inang'aa, makorokoro yanakuwa mengi so kila mwezi ni mwendo wa kwenda garage.
 
hakuna number D ya mwaka 2000's??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wateja Huwa washakaririshwa.. ni sawa na Watanzania Kila Homa lazima akapime malaria kwahiyo usishangae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fair ukimaanisha nin?
fanya search ya used car kwa domestic market (pitia hata kupatana. com).
hiyo 6m hata ist number c hupati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…