kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Ngoja ajecc986?
cc986? au unamaanisha cc 1986?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja ajecc986?
cc986? au unamaanisha cc 1986?
Yes...me nilidownload ya Nissan....kwa bahati mbaya laptop ilizingua nikaformat.Hivi nawezaje kudownload manual book ya gari flani online? Ipo web? Msaada
Unayo au ulishaisukumaMkuu kwa yeyote anaehitaji hii Gari anione, Nina Voltz mpya kabisa toka japani
Ukisema uangalie plate number na si ubora/uimara wa gari totally you are wrong, kuna gari imepaki mtaani ni number DD ila ni unaweza ukashangaa imepata maswahibu gani na wakati kuna number b au c ni mpya kama imetoka yard.Akiuza hiyo gari hata kwa M saba, ashukuru Mungu.
Kuhusu kuiuza Dar, sahau. 'Hakuna' mtu wa Dar anaweza nunua gari namba C (esp at that price). Ni bora anunue Vitz namba D kulilo Prado ya namba C. Namba ina matter sana kwa mteja wa Dar...
Kwa nn namba?Akiuza hiyo gari hata kwa M saba, ashukuru Mungu.
Kuhusu kuiuza Dar, sahau. 'Hakuna' mtu wa Dar anaweza nunua gari namba C (esp at that price). Ni bora anunue Vitz namba D kulilo Prado ya namba C. Namba ina matter sana kwa mteja wa Dar...
Watu wa Dar wanapenda ufahari wa kuonekana wako na chombo mpya.
nyie ndo mnapigwa kiboya,nenda bandarini kweny mnada wa magari utakutana na gar chakavu balaa but mtu ananunu anasajili inakuwa na namba DN ila kimeo hatari kwa sababu ya kukaa muda mrefu bandarin....usikariri kwamba kila namba D ni mpya.Akiuza hiyo gari hata kwa M saba, ashukuru Mungu.
Kuhusu kuiuza Dar, sahau. 'Hakuna' mtu wa Dar anaweza nunua gari namba C (esp at that price). Ni bora anunue Vitz namba D kulilo Prado ya namba C. Namba ina matter sana kwa mteja wa Dar...
Hayo unasema wewe ila wateja wa magari Dar, wako tofauti sana. Ni kinyume na unavyofikiria. Nimeuza mikweche mingi huko nyuma, na wateja wengi walikuwa wanatoka mikoani kuja kununua.Ukisema uangalie plate number na si ubora/uimara wa gari totally you are wrong, kuna gari imepaki mtaani ni number DD ila ni unaweza ukashangaa imepata maswahibu gani na wakati kuna number b au c ni mpya kama imetoka yard.
Note: mteja atatokea kokote si lazima Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnadavunakuaga lini kqkaNyie ndo mnapigwa kiboya, nenda bandarini kweny mnada wa magari utakutana na gar chakavu balaa but mtu ananunu anasajili inakuwa na namba DN ila kimeo hatari kwa sababu ya kukaa muda mrefu bandarin. Usikariri kwamba kila namba D ni mpya.
Point yako ni kwamba gari haiwezi kuuzika dar simply because ni plate number C?Hayo unasema wewe ila wateja wa magari Dar, wako tofauti sana. Ni kinyume na unavyofikiria. Nimeuza mikweche mingi huko nyuma, na wateja wengi walikuwa wanatoka mikoani kuja kununua.
Kama huamini, simama bara barani utafute gari namba A kama utazipata kwenye jiji la Dar. Ni za kuhesabu, nyingi zishatupwa mikoani. Siku ukiziona zimerudi Dar, basi zitakuwa ni in a form of scrap metal zikielekea kwenye viwanda vya kuyeyusha chuma.
Namba C zinauzika but bei yake huwa ni ndogo. Unapozungumzia gari No C, ni gari ya 2013 huko. Tayari hiyo gari imetumika miaka mitano (kuelekea 6) hapa nchini. Na gari ikishatumika muda huo hapa nchini, expect that to already be a scrapper. Hata kama gari inang'aa, makorokoro yanakuwa mengi so kila mwezi ni mwendo wa kwenda garage.point yako ni kwamba gari haiwezi kuuzika dar simply because ni plate number C?
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna number D ya mwaka 2000's??Namba C zinauzika but bei yake huwa mi ndogo. Unapozungumzia gari No C, ni gari ya 2013 huko. Tayari hiyo gari imetumika miaka mitano hapa nchini. Na gari ikishatumika muda huo hapa nchini, expect that to already be a scrapper. Hata kama gari inang'aa, makorokoro yanakuwa mengi so kila mwezi ni mwendo wa kwenda garage.
We are not talking of year of manufacture. We are talking of mwaka ambao gari iliingizwa nchini.
Kuna wateja Huwa washakaririshwa.. ni sawa na Watanzania Kila Homa lazima akapime malaria kwahiyo usishangaeukisema uangalie plate number na si ubora/uimara wa gari totally you are wrong, kuna gari imepaki mtaani ni number DD ila ni unaweza ukashangaa imepata maswahibu gani na wakati kuna number b au c ni mpya kama imetoka yard.
note: mteja atatokea kokote si lazima dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
absolutely mkuu nimekupata.Kuna wateja Huwa washakaririshwa.. ni sawa na Watanzania Kila Homa lazima akapime malaria kwahiyo usishangae
Sent using Jamii Forums mobile app
fair ukimaanisha nin?Volts bwana namba C kwa 8.5 ....hapana. Tuwe wakweli tu, hyo gari fair fair uza 6 cash.
Pili, asitegemee kuuza Dar hyi gari. Dar watu wanapenda pamba sio ilimradi gari tu. Hyo gari akipeleka ifakara haimalizi wiki inapata mteja kwa 6 hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app