Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Hivi hamna umbali mrefu zaidi ya km1500 toka Dar ndani ya Tanzania?!
Mbali zaidi nafikiri ni Bukoba, na kutoka BKB hadi Mutukula (Mpakani na Uganda) ni kama 80km hivyo ukiongeza nafikiri haifiki hiyo distance yake hivyo labda alikosea
 
Hii itakuwa ni nje ya Tanzania hivyo wauliza wadau wa pande hizo
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: black_txt, width: 66%"]ubishi wa nini ebu soma hapa ujue

[/TD]
[TD="width: 34%, align: right"] [/TD]
[/TR]
[TR="class: nafasi"]
[TD="colspan: 2"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: kili_text1, colspan: 2"]Ngara is one of the seven Districts in Kagera region. It is in the extreme north west of Tanzania . It borders Rwanda in the North; Burundi in the Southwest; Biharamulo in the East, Karagwe in the North East and Kibondo in the South. The distance from Ngara to Dar es Salaam is 1,600 Km and to the regional headquarters, Bukoba is 350 kms. The tarmac road connects Ngara with Kigali in Rwanda , Bujumbura in Burundi and to the dry port of Isaka . The area of Ngara is km 2 3,744 and it is divided into four divisions, 17 wards and 72 villages. It is further subdivided into 359 sub villages (vitongoji).

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: black_txt, width: 66%"]ubishi wa nini ebu soma hapa ujue

[/TD]
[TD="width: 34%, align: right"][/TD]
[/TR]
[TR="class: nafasi"]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: kili_text1, colspan: 2"]Ngara is one of the seven Districts in Kagera region. It is in the extreme north west of Tanzania . It borders Rwanda in the North; Burundi in the Southwest; Biharamulo in the East, Karagwe in the North East and Kibondo in the South. The distance from Ngara to Dar es Salaam is 1,600 Km and to the regional headquarters, Bukoba is 350 kms. The tarmac road connects Ngara with Kigali in Rwanda , Bujumbura in Burundi and to the dry port of Isaka . The area of Ngara is km 2 3,744 and it is divided into four divisions, 17 wards and 72 villages. It is further subdivided into 359 sub villages (vitongoji).

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hata Ngara yenyewe wakoloni wangetaka wangeiweka huko Burundi tu.
Pengine kwa mikoa yote ya Tanzania, hapo Ngara ndio hapo tu panafikia 1,600km kutokea DSM.

Otherwise jamaa anaulizia kama Toyota Voltz ni gari nzuri ama vipi, sio 1,600km from DSM ipo Tanzania ama haipo?
 
mbona mmesahau dar musoma? maana dar musoma itakubidi ufike mwanza ndo uitafute musoma .hapo km 1500 lazima uzikamate
 
kwa sio ajabu kuna sehemu ndani ya tanzania inaweza kuwa km 1500 from dar....yaani unaweza kufika hadi bukoba then unaingia ndani ndani huko au kigoma then unaingia ndani zaidi.

sio ajabu kwan hyo dar ukianzia mbezi makonde na ukianzia mbagala charambe vp umbali ni huo huo au
 
9 ml. Na nineweka thread yangu kabisa itafute kwenye habari za biashara utaiona picha zake na specification zake.
 
Wadau naombeni kunijuza juu ya ubora wa gari la aina yya TOYOTA VOLTZ imetokea kuipenda kwa ajili ya matumizi ya kawaida ofisini na binafsi.Ila nawasi wasi juu ya either ubora na uimara wake. mie naishi mabonde kuinama zaidi ya 1,500km kutoka dar.Ushauri wenu utazingatiwa san na mshukuriwe wote .

Achana na hizo wax beauties! Tafuta RAV 4; it is time tested.
 
ngungwangungwa: Kutoka dar mpaka shinyanga pana umbali wa 1017.5KM, kutoka dar mpaka kigoma ni 1295KM na kutoka dar mpaka Gelib (mji upo kusini mwa somalia) kuna umbali wa 1473.3KM, ndo maana nilisema ukitembea hizo 1500KM kutoka dar kuelekea kaskazini mwa Tanzania utajikuta upo somalia. Actualy, ukitembea kutoka Dar 1500KM kuelekea upande wowote ule lazima utoke nje ya mipaka ya tanzania.

ha ha ha ha bwana ropam naona umefanya homework yako vizuri aisee
 
Last edited by a moderator:
kwa sio ajabu kuna sehemu ndani ya tanzania inaweza kuwa km 1500 from dar....yaani unaweza kufika hadi bukoba then unaingia ndani ndani huko au kigoma then unaingia ndani zaidi.

Ebana eeh hivi wanavyosema kutoka Posta mpaka UDSM ni 11 km inamaana wamejumlisha na sehemu za ndani ndani mwa eneo la udsm? au sijui changanyikeni? inabidi uelewe kwamba lazima kuwe na starting point na ending point walivyosema kuanzia dar - kigoma ni 1298 Km obviously wameishia Kigoma Mjini sasa kama ni stesheni au ni stand ya basi mimi sijui point ni kwamba kwenye data zilizorekodiwa hamna sehemu unayoweza kuanzia Dar - wapi huko ikwa 1500 Km...kwa kuku saidia zaidi download hii kitu hapa ujue..Over..!! kama haijajiupload google hivi Tanzania Road Distance Chart June 2012..ujionee...
 
transportation is my business. najua ninachoongea practically not theoretically.
 
Wamaanisha nini
Zamaulid? Kwa kweli simshauri ainunue. Ni nzuri
kweli kwa nje na hata ndani, ni unique, ila usiombe ipate
shida...kununua spare parts utazunguka mji mzima!

well well my brodaaa..

unywaji wake wa mafuta ukoje? na wakati wa kuiuza hupata tabu ya kupata mteja?

inachangamoto nyingine zaidi ya hiyo uliyokutana nayo?
 
Last edited by a moderator:
Ebana eeh hivi wanavyosema kutoka Posta mpaka UDSM ni 11 km inamaana wamejumlisha na sehemu za ndani ndani mwa eneo la udsm? au sijui changanyikeni? inabidi uelewe kwamba lazima kuwe na starting point na ending point walivyosema kuanzia dar - kigoma ni 1298 Km obviously wameishia Kigoma Mjini sasa kama ni stesheni au ni stand ya basi mimi sijui point ni kwamba kwenye data zilizorekodiwa hamna sehemu unayoweza kuanzia Dar - wapi huko ikwa 1500 Km...kwa kuku saidia zaidi download hii kitu hapa ujue..Over..!! kama haijajiupload google hivi Tanzania Road Distance Chart June 2012..ujionee...

Umbali wowote kwa Dar es Salaam huanza kuhesabiwa Zero km (0km) pale Clock Tower.
 
well well my brodaaa..

unywaji wake wa mafuta ukoje? na wakati wa kuiuza hupata tabu ya kupata mteja?

inachangamoto nyingine zaidi ya hiyo uliyokutana nayo?

mteja alipatikana...as I said ni zuri kwa nje na ndani..a bit unique shape...and it was red..oh yule mdada alilipenda.

sasa hivi anatembelea bila taa hadi ziagizwe ati...
 
mbona hujanijibu hayo maswali mengine my kaka?
 
Back
Top Bottom