Mkuu ungefungua thread kuhusu huo msemo hapo aliousema msemaji wa ikulu-Salva Rweyemamu.Bravomike nimekupata mkuu. kuna kitu nimegain. Nazidi kupata EXPOSURE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ungefungua thread kuhusu huo msemo hapo aliousema msemaji wa ikulu-Salva Rweyemamu.Bravomike nimekupata mkuu. kuna kitu nimegain. Nazidi kupata EXPOSURE
Dar- Moshi ni km563 tu!
so?? nilisema almost 600km....563km is approx. 600km.
Mbali zaidi nafikiri ni Bukoba, na kutoka BKB hadi Mutukula (Mpakani na Uganda) ni kama 80km hivyo ukiongeza nafikiri haifiki hiyo distance yake hivyo labda alikoseaHivi hamna umbali mrefu zaidi ya km1500 toka Dar ndani ya Tanzania?!
[TABLE="width: 100%"]Hii itakuwa ni nje ya Tanzania hivyo wauliza wadau wa pande hizo
Hata Ngara yenyewe wakoloni wangetaka wangeiweka huko Burundi tu.[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: black_txt, width: 66%"]ubishi wa nini ebu soma hapa ujue
[/TD]
[TD="width: 34%, align: right"][/TD]
[/TR]
[TR="class: nafasi"]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: kili_text1, colspan: 2"]Ngara is one of the seven Districts in Kagera region. It is in the extreme north west of Tanzania . It borders Rwanda in the North; Burundi in the Southwest; Biharamulo in the East, Karagwe in the North East and Kibondo in the South. The distance from Ngara to Dar es Salaam is 1,600 Km and to the regional headquarters, Bukoba is 350 kms. The tarmac road connects Ngara with Kigali in Rwanda , Bujumbura in Burundi and to the dry port of Isaka . The area of Ngara is km 2 3,744 and it is divided into four divisions, 17 wards and 72 villages. It is further subdivided into 359 sub villages (vitongoji).
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hata Ngara yenyewe wakoloni wangetaka wangeiweka huko Burundi tu.
Pengine kwa mikoa yote ya Tanzania, hapo Ngara ndio hapo tu panafikia 1,600km kutokea DSM.
Otherwise jamaa anaulizia kama Toyota Voltz ni gari nzuri ama vipi, sio 1,600km from DSM ipo Tanzania ama haipo?
kwa sio ajabu kuna sehemu ndani ya tanzania inaweza kuwa km 1500 from dar....yaani unaweza kufika hadi bukoba then unaingia ndani ndani huko au kigoma then unaingia ndani zaidi.
Nauza grandvitara v6 manual 0769881984
Wadau naombeni kunijuza juu ya ubora wa gari la aina yya TOYOTA VOLTZ imetokea kuipenda kwa ajili ya matumizi ya kawaida ofisini na binafsi.Ila nawasi wasi juu ya either ubora na uimara wake. mie naishi mabonde kuinama zaidi ya 1,500km kutoka dar.Ushauri wenu utazingatiwa san na mshukuriwe wote .
ngungwangungwa: Kutoka dar mpaka shinyanga pana umbali wa 1017.5KM, kutoka dar mpaka kigoma ni 1295KM na kutoka dar mpaka Gelib (mji upo kusini mwa somalia) kuna umbali wa 1473.3KM, ndo maana nilisema ukitembea hizo 1500KM kutoka dar kuelekea kaskazini mwa Tanzania utajikuta upo somalia. Actualy, ukitembea kutoka Dar 1500KM kuelekea upande wowote ule lazima utoke nje ya mipaka ya tanzania.
kwa sio ajabu kuna sehemu ndani ya tanzania inaweza kuwa km 1500 from dar....yaani unaweza kufika hadi bukoba then unaingia ndani ndani huko au kigoma then unaingia ndani zaidi.
Ebana eeh hivi wanavyosema kutoka Posta mpaka UDSM ni 11 km inamaana wamejumlisha na sehemu za ndani ndani mwa eneo la udsm? au sijui changanyikeni? inabidi uelewe kwamba lazima kuwe na starting point na ending point walivyosema kuanzia dar - kigoma ni 1298 Km obviously wameishia Kigoma Mjini sasa kama ni stesheni au ni stand ya basi mimi sijui point ni kwamba kwenye data zilizorekodiwa hamna sehemu unayoweza kuanzia Dar - wapi huko ikwa 1500 Km...kwa kuku saidia zaidi download hii kitu hapa ujue..Over..!! kama haijajiupload google hivi Tanzania Road Distance Chart June 2012..ujionee...
Wamaanisha nini
Zamaulid? Kwa kweli simshauri ainunue. Ni nzuri
kweli kwa nje na hata ndani, ni unique, ila usiombe ipate
shida...kununua spare parts utazunguka mji mzima!
Ebana eeh hivi wanavyosema kutoka Posta mpaka UDSM ni 11 km inamaana wamejumlisha na sehemu za ndani ndani mwa eneo la udsm? au sijui changanyikeni? inabidi uelewe kwamba lazima kuwe na starting point na ending point walivyosema kuanzia dar - kigoma ni 1298 Km obviously wameishia Kigoma Mjini sasa kama ni stesheni au ni stand ya basi mimi sijui point ni kwamba kwenye data zilizorekodiwa hamna sehemu unayoweza kuanzia Dar - wapi huko ikwa 1500 Km...kwa kuku saidia zaidi download hii kitu hapa ujue..Over..!! kama haijajiupload google hivi Tanzania Road Distance Chart June 2012..ujionee...
well well my brodaaa..
unywaji wake wa mafuta ukoje? na wakati wa kuiuza hupata tabu ya kupata mteja?
inachangamoto nyingine zaidi ya hiyo uliyokutana nayo?
mteja alipatikana...as I said ni zuri kwa nje na ndani..a bit unique shape...and it was red..oh yule mdada alilipenda.
sasa hivi anatembelea bila taa hadi ziagizwe ati...