Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Wapendwa habari za siku. na majukumu.

Naomba msaada nili-download movie ya kikorea (series) jewel in the palace with english subtitle lakini nilipokuja kuban kwenye dvd zile eng. subtitle hazitokei nifanyeje. JF kisima cha maarifa msaada plse.

pia nauliza hivi torrentez.com ya kudown movie wameifunga kwa sababu kila nienda inanijibu farewell.

Wenu Rubi.
 

Ili subtitles ziweze kusomwa na TV /deki NI LAZIMA ziwe na majina yanayofanana na Vídeo files zake..
Mfano, kama Episode inajina JEWEL_ES01 basi na subtitle husika inatakiwa iwe named hivyo hivyo..
Kwa namna hiyo, TV /deki ikisoma video inaweza kutambua subtile husika.

Umenielewa Rubi?
 
Nimekuelewa mkuu. Ni kusema itabidi hii series niidownload upya maana kwenye komyupta uki-play kwa VLC inasoma sutitle direct but uki-play na software ingine subtitle hazisomi. nilikuwa sipati majibu. Asante sana pengie unaweza kunipa software ya kudownload hizo series with subtitle bila mizengwe.
 

Yeah torrentz haipo siku hiz.
Jaribu dx-torrent.com n yts.ag. hiyo yts ni nzuri zaid na rahis kutumia, movie wanazoweka ni clean version tu
 
iyo the purge nliicheki ile anarchy iko poa
 
chief hz link zimeanza kutofanya kazi. zilikua znakubal, saa hz hola.
unazo nyingine mkuu?
 
Wana jf kwa yeyote yule mwenye kujuwa website nzuri ya ku-download movies anisaidia. Website niliyokuwa natumia ku-download ni www.kat.ph.com nimetumia Muda mrefu sana uko nyuma . Nimefanikiwa kupata PC ikabidi nitafute movies nzuri ni download kila nikijaribu inanigomea mara features wamebadilisha, create account.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…