ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Naweza pata direct link ya Mechanic ya statam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo fardadownload ila quality nzuri haijatoka badoNaweza pata direct link ya Mechanic ya statam
Wapendwa habari za siku. na majukumu. naomba msaada nili-download movie ya kikorea (series) jewel in the palace with english subtitle lakini nilipokuja kuban kwenye dvd zile eng. subtitle hazitokei nifanyeje. JF kisima cha maarifa msaada plse.
pia nauliza hivi torrentez.com ya kudown movie wameifunga kwa sababu kila nienda inanijibu farewell.
wenu Rubi.
Wapendwa habari za siku. na majukumu. naomba msaada nili-download movie ya kikorea (series) jewel in the palace with english subtitle lakini nilipokuja kuban kwenye dvd zile eng. subtitle hazitokei nifanyeje. JF kisima cha maarifa msaada plse.
pia nauliza hivi torrentez.com ya kudown movie wameifunga kwa sababu kila nienda inanijibu farewell.
wenu Rubi.
iyo the purge nliicheki ile anarchy iko poa1-https://putlocker.is/
2-https://genvideos.org/2016_movies
3-https://xmovies8.org/
Popular Movies
1:49:35
The Legend of Tarzan
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 6.7
Genres: Action, Adventure, Drama, Romance
![]()
Independence Day: Resurgence
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 5.5
Genres: Action, Adventure, Sci-Fi
View attachment 380269
1:51:38
Central Intelligence
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 6.8
Genres: Action, Comedy, Crime
1:52:18
The Purge: Election Year
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 6.5
Genres: Action, Horror, Sci-Fi, Thriller
1:47:48
Deadpool
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 8.3
Genres: Action, Adventure, Comedy, Sci-Fi
3:02:33
Batman v Superman: Dawn of Justice
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 7.0
Genres: Action, Adventure, Sci-Fi
1:32:23
Neighbors 2: Sorority Rising
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 6.1
Genres: Comedy
chief hz link zimeanza kutofanya kazi. zilikua znakubal, saa hz hola.Kuna aina mbalimbali za kudownload mafile kama kutumia torrents, kutumia file sharing sites kama mediafire, ku-capture video za online nk lakini aina zote hizo hazifikii kudownload file direct. Nikisema direct namaanisha ukiclick tu file linaanza kudownload bila msaada wa software yoyote au kusubiri.
Njia hii pia ni maarufu kwa wale wanaotumia proxy, au internet zenye restriction ya kudownload torrents na kustream, hapa nimejaribu kutafuta site ambazo utadownload directs bila matatizo yoyote.
Kudownload movies na series
Kama unataka kudownload movie na series bila longo longo website ni hii hapa
tumia hii hapa movie
Index of /Masih/Film/
-animation hapa
Index of /admin/Animation/
-top 250 movies hapa
Index of /admin/250-IMDB/
-series hapa
Index of /TV.Show/
Utaclick serial kama ni series na film kama ni movie
link nyengine ya movie
Index of /Film/
na series
Index of /Serial/
Kwenye movie kuna miaka kama unajua mwaka movie iliotoka utaclick na pia kuna collection ya movie zenye parts, mfano home alone kuna part 1 hadi 5
link nyengine ya movie kama za juu zinasumbua
Index of /Data/Film/
link nyengine za movie na series
s1.dl-movie.ir - /Serial/
Index of /Data/
Kudownload games
hapa ni oceanofgames, even games kama gta v unalipata kwa single link na ma gb yake yote.
Ocean of Games
Kudownload software za PC
ukitaka operating systems, software za 3d, photoshop nk utazipata hapa
Get Into PC - Download Free Your Desired App
Apps na games za android
hizi utazipata hapa direct links
OceanofAPK - Dive & Get Your Famous APK
Una site nyengine za direct links? Usisite kuzitaja ni update thread
mirror ya fardadownloadchief hz link zimeanza kutofanya kazi. zilikua znakubal, saa hz hola.
unazo nyingine mkuu?
asante mkuu