vuze/torent takes time lkn kwality iko bomba, imagine just to download 700MB takes 3 days whn you download for 24 hrs everyday
You just pay for your download/upload volume.Jiunge TorrentDay - Your Key To The Scene ni bure kudownload
Aisee musa nimeicheki nimeambiwa ili niwe member inabidi member aniinvite ,unaweza nsaidia kwa hilo kiongozi.Jiunge TorrentDay - Your Key To The Scene ni bure kudownload
KICK ASS TORRENT wewe inakupasa uwe na ka kitu haka tu utorrent kwenye kopmyuta yako uinstall then waweza daownload the latest movies na kitu kingine chochote kile utakacho. Actually zipo torrents site nyingi tu ambazo ukishakuwa na hako ka utorrent unajiachia utakavyo.mambo wakuu. Asee mdogo wenu nashida ya kujua mitandao ya kudown load movie free of charge maana mingi unakuta uwe member afu mlolongo mrefuu asee viongozi nisaidieni, pia nackia hata JF pia ina hiyo huduma

wanakuzingua dogo. Nenda torrentz.com kila movie imo tena bure!

Download utorent au vuze(hizi ni software) alafu uinstal kwenye kompyuta, baada ya hapo fungua google.com andika kitu unachokitaka malizia na neno torrent then search. mfano: the lincoln lawyer torrent, Jay-z and kanye west-watch the throne torrent, n.k.

utapo search kwenye google itakuletea torrent websites nyingi zenye hicho kitu ulicho search, napendekeza uwe unafungua, isohunt.com au thepiratebay.org!!!

Nimeitembelea hiyo 'torrentz.com'. Movie ni nyingi lakini huwezi ku-download bila kujiunga na kulipia. Ufafanuzi zaidi unatakiwa maana tunaotafuta kujua namna ya kupata hizo movie na miziki ni wengi. Anayejua atueleze vizuri na kwa ufasaha tafadhali maana sio wote ni 'computer literate'.
Mkuu jaribu kutulia na kufuata maelekezo uliyopewa hapa chini na tototunduNimeitembelea hiyo 'torrentz.com'. Movie ni nyingi lakini huwezi ku-download bila kujiunga na kulipia. Ufafanuzi zaidi unatakiwa maana tunaotafuta kujua namna ya kupata hizo movie na miziki ni wengi. Anayejua atueleze vizuri na kwa ufasaha tafadhali maana sio wote ni 'computer literate'.
Or try thisdownload kwanza utorrent: Download - µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client
halafu tembelea baba wa tovuti zote za torrent hapa: Torrent Search Engine
unabakia kulipia tu volume tu (download/upload).
Fungua hapa ahashare ni bure wala huna haja ya kujisajili, vilevile unaweza kuingia hapa extratorrentmambo wakuu.asee mdogo wenu nashida ya kujua mitandao ya kudown load movie free of charge maana mingi unakuta uwe member afu mlolongo mrefuu asee viongozi nisaidieni,pia nackia hata jf pia ina hiyo huduma
Mkuu fanya hivi hakikisha umedownload utorrent (click hapa kudownload) na kisha install ktk Pc yako.Umenisaidia sana ndugu yangu. Asante. Nimefuata hatua zote lakini mwishoni ilikuwa inanilekeza niji-registe, process ambayo inaambatana na malipo. Sijui nakosea wapi. Lakini nakushukuru. Asante sana.
Kama uko US nakushauri uachane na hii biashara ya illegal music/movie downloading wazee wa makoti marfu watakugongea mlango sasa hivi.Mambo wakuu. Asee mdogo wenu nashida ya kujua mitandao ya kudown load movie free of charge maana mingi unakuta uwe member afu mlolongo mrefuu asee viongozi nisaidieni, pia nackia hata JF pia ina hiyo huduma
Na ujiandae pia kuuwa mashine yako; nakushauri usijiunge kwenye torrents kwa kutumia mashine yenye umuhimu kwa maana ya ofisi au kazi muhimu kwako; chagua mashine ama tenga mashine siyokuwa na kazi. Yote yangaayo si dhahabu!