Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umepatia haswa. pigia mstari jibu lakonijulisheni kama una dowload movie bure na bundle wanakata kutegemea na MB zenyewe za movie ambayo una download?..
fanya hivi: unainstal software inaitwa u-torrent. link hii µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client
halafu ukishakuwa nayo hiyo utaingia google kama kawaida utafute website inaitwa btjunkie au nikuwekee link: btjunkie - the largest bittorrent search engine
halafu kwenye search box ya btjunkie andika jina la movie unayotaka kudownload. itakuletea search findings nyingi. i was told the best movies in quality audion and video ni kuanzia 700 - 900mb. utaclick kwenye hiyo ultakayochagua halafu itakupa download link ukiclick hiyo link sasa inategemea unatumia chrome au mozilla au explorer lakini something will pop ambayo itakuprompt usave au itajisave yenyewe and once you click on the pop up au saved folder itakupeleka moja moja kwenye torrent ambayo itaanza kudownload. am not so good in explaining lakini nadhani umeelewa. ni njia rahisi na ndo nayojua tu unless kama kuna mtu anajua namna nyingine mbali ya junkie na torrent atusaidie.
Any 1 anaye jua website yaku download series kwa free naomba anipe ila isiwe torrent website
Nenda MediaTvZone
Kuna series za ukweli.
singlelinkzone.blogspot.com MediafireDowns - Free Download MediaFire Movies, TV Shows 480p.me mediafirefreaks.blogspot.com # MediaFireRocks.Com - Mediafire Free Movie Download Links + Trailers|Music|Softwares|E-Books|Magazines ETC. Free Download Latest Movies, Drama, TV Serials by Mediafire links free-album-downloads.com Tv Shows MoVie CoLLeCTioN Direct Downloads Latest Movies & Tv Shows » » DirectLinkSpot.org ywarez.com Direct Download Movies Free || No sharing site links
Angalia link yakoIngia hapa moviesmobile.net utapata kila movie ambayo unaipenda