Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Hello guys, kuna friends walinigusia hili, nimeandika kidogo today kuhusu how to download using Bittorrent, so lets get the party started, what is torrent? Torrent ni file lolote linalokuwa sent kupitia BitTorrent protocol.

Linaweza kuwa movie, music, video, program, vitabu etc. Wakati linatoka sehemu moja kwenda nyingine, linakuwa halijakamilika hivyo linakuwa refered as torrent. Kama halijakamilika haliwezi kufunguliwa kwa kuwa halina data zote muhimu.

Torrents zipo tofauti na downloads nyingine, kwa kawaida unapodownload kitu unakidownload kutoka server moja, ila kwa torrrents, unadownload kutoka server nyingi nyingi, na kwa kuwa kwa kawaida ISP (Internet Service Provider)

wanatoa download speed kubwa kuliko upload speed, hivyo kuziunganisha server nyingi kuongeza kasi ya kudownload na kupunguza Bandwidth kwa server zinazoruhusu downloads.

Ok now acha tutazame BitTorrent ni nini na inafanyaje kazi, Bittorrent ni p2p protocol iliyokuwa designed kupunguza bandwidth required to transer files. Kwa mfano, unataka kudownload movie, BitTorrent system inalocate computer nyingine duniani ambazo zina file lilelile (na BitTorrent protocol ofcourse) na kuanza kudownload hiyo movie kutoka computer mbalimbali.

Ili utumie hii Bittorrent protocol, unahitaji Bit torrent client, nii ni BitTorrent progam ambazo ni kama zifuatazo

Kwa Windows BitTorrent, uTorrent, Xtorrent, Vuze, RitRocket, Transmission,
Kwa Linux ni, Vuze, Ktorrent, Deluge, na Transmission.

Important terms.

Torrent ni file ambalo halijakamilika na pia ni file dogo, linalotumika kuidentify content unazozitaka.

BitTorrent client : ni progr am unayotumia kudownload kwa torrent

Bit torrent Index : ni Websit es zinazotoa torrent files,(vile vidogo vitakavyotumika kustart downloads.

Seeds : ni watu waliomaliza kudownload file na wanakuacha na wewe udownload kutoka kwao.
Leech : NI watu wanaodownload file kama wewe.

Getting started

Baada ya kujua hiyo intro, then what to do.

Kwanza download uTorrent hapa, au BitTorrent hapa (Na recommend uTorrent, ni ndogo ina kama kb 864 hivi)
Install program uliyodownload.

Search chochote unachotaka ongezea na neno torrent kwa mbele,

Download htorrent file dogo, kwenye download window kuna open au save file, choose open file ili lifungukie uTorrent moja kwa moja, liache lidownlload, likimaliza liache useed kidogo, halitumii speed kubwa wala halitakulia MB zako nyingi (its goog to give back kidogo ulichopewa wewe)

Enjoy!

Guys samahani nimeshidwa kuandika sana nipo kwenye pepa, so in few days ntaandika tutorial ndefu yenye kila kitu including, Torrent tracker, safety when downloading torrents, anonymity, legal actions na nyingine nyingi, just tuvumiliane kidogo.
 
Thank you so far it is a good explanation.
 
Chengachenga zungusha antenna funga busta, au weka king'amuzi olah!
 
Mkuu Third Eye Kama nilivyo ahidi mkuu nimekumwagia like. Thanks kwa maelezo mazuri sana ila kuna baadhi ya sehemu bado niko porini.

1) Kuna Utorrent ya kulipia na bure je, tofauti ni ipi?
2) Ni lazima kuseed au sio lazima?

Ni hayo tu kwa leo

Thank again
 
Last edited by a moderator:
1. Extra features for paid version is
  • Protect your computer with integrated antivirus
  • Get the codecs you need to enjoy HD video
  • Easily move files to your favorite devices
2. Kuseed sio lazima, ila ni vizuri because kama hakuna wanaoseed, itakuwa tabu kupata vitu vipya, so kama unaweza its good, kama huwezi its fine pia
 
Mkuu Third eye natanguliza shukrani zangu kwako kwa somo hili zuri na muhimu kabisa'mimi binafsi naishi kwa kidowload na kuuza software mbalimbali via bitorrent'pc yangu haizimwi manake nina download karibu 200 kwa mwezi'dowload speed yangu ni 512mbp'inachukuwa muda mrefu kudowload kitu cha 1gb'kuna wakati inachukuwa week nzima'je kuna njia ya kudowload fast the same speed? Halafu kitu kinachonisumbua sana nikishamaliza download kuna kipindi lile foulder linabakia empty'hiyo inasababishwa na nini na nani ana delete ile program'je nifanyeje hapo?
 
3rd Eye. big up, All the best in your exam. Hope to see you back soon.
 
Ukiacha hiyo kwa kutumia computer, vp kuhusu wanaotumia sim? Kuna application inaitwa symtorrent nimei install kwenye simu yangu, ila tatizo kila ikitaka kudownload inaniambia bad file format! Je ni format gani ambazo zinatakiwa kuwa downloaded kupitia sim?
 
Thanx Buddy. Its been of much boost to me,nakutakia mitihani myema na u pasue fresh, i' ll be waiting for the full lecture ya hii kitu,all the best Kaka
 
Back
Top Bottom