Hello guys, kuna friends walinigusia hili, nimeandika kidogo today kuhusu how to download using Bittorrent, so lets get the party started, what is torrent? Torrent ni file lolote linalokuwa sent kupitia BitTorrent protocol.
Linaweza kuwa movie, music, video, program, vitabu etc. Wakati linatoka sehemu moja kwenda nyingine, linakuwa halijakamilika hivyo linakuwa refered as torrent. Kama halijakamilika haliwezi kufunguliwa kwa kuwa halina data zote muhimu.
Torrents zipo tofauti na downloads nyingine, kwa kawaida unapodownload kitu unakidownload kutoka server moja, ila kwa torrrents, unadownload kutoka server nyingi nyingi, na kwa kuwa kwa kawaida ISP (Internet Service Provider)
wanatoa download speed kubwa kuliko upload speed, hivyo kuziunganisha server nyingi kuongeza kasi ya kudownload na kupunguza Bandwidth kwa server zinazoruhusu downloads.
Ok now acha tutazame BitTorrent ni nini na inafanyaje kazi, Bittorrent ni p2p protocol iliyokuwa designed kupunguza bandwidth required to transer files. Kwa mfano, unataka kudownload movie, BitTorrent system inalocate computer nyingine duniani ambazo zina file lilelile (na BitTorrent protocol ofcourse) na kuanza kudownload hiyo movie kutoka computer mbalimbali.
Ili utumie hii Bittorrent protocol, unahitaji Bit torrent client, nii ni BitTorrent progam ambazo ni kama zifuatazo
Kwa Windows BitTorrent, uTorrent, Xtorrent, Vuze, RitRocket, Transmission,
Kwa Linux ni, Vuze, Ktorrent, Deluge, na Transmission.
Important terms.
Torrent ni file ambalo halijakamilika na pia ni file dogo, linalotumika kuidentify content unazozitaka.
BitTorrent client : ni progr am unayotumia kudownload kwa torrent
Bit torrent Index : ni Websit es zinazotoa torrent files,(vile vidogo vitakavyotumika kustart downloads.
Seeds : ni watu waliomaliza kudownload file na wanakuacha na wewe udownload kutoka kwao.
Leech : NI watu wanaodownload file kama wewe.
Getting started
Baada ya kujua hiyo intro, then what to do.
Kwanza download uTorrent hapa, au BitTorrent hapa (Na recommend uTorrent, ni ndogo ina kama kb 864 hivi)
Install program uliyodownload.
Search chochote unachotaka ongezea na neno torrent kwa mbele,
Download htorrent file dogo, kwenye download window kuna open au save file, choose open file ili lifungukie uTorrent moja kwa moja, liache lidownlload, likimaliza liache useed kidogo, halitumii speed kubwa wala halitakulia MB zako nyingi (its goog to give back kidogo ulichopewa wewe)
Enjoy!
Guys samahani nimeshidwa kuandika sana nipo kwenye pepa, so in few days ntaandika tutorial ndefu yenye kila kitu including, Torrent tracker, safety when downloading torrents, anonymity, legal actions na nyingine nyingi, just tuvumiliane kidogo.