Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

subiria watu masinitch waje na point zao hapaa utavamiwa asikwambie mtu.

Kwangu mm nakuunga mkono na naanda video channel youtube ya majitu ka haya.

Angalizo.Kwa wale ambao mta upload movie youtube usiiwekee jina original e.g ndoa yangu we unaita my my marriage.Hii itasaidia steps wasi icocopyright kama part1 ya ndoa yangu iliyokuwa utube
 
Hv kuzipeleka kwenye ma torrent je? Au kule haifai?
 
Hata hizi site nyingine nyingine za kuhifadhi mafile online mf mediafire,megaupload n.k tunaweza kuweka mfumo mzuri wa kubadilishana link!sio video tu,anykind ya material mtu atakayotaka kushare na wengine,

Mia.
 
mnhh hapo pa kueka mkv sjakupata, sjawah ku upload mkv ila ninavyojua mimi youtube wana format zao, lazma output ya video iwe ile ile. mp4(360,720,1080) 3gp(144,240), flv(240,360,480), webm

sidhani kama itasaidia huo ukubwa.

then unapoeka youtube risk ya kuwa banned ni kubwa hasa video inapopita dakika kumi.

kuna site nzuri za kushare video ambazo zinakupa unlimited speed na option ya kudownload kama.

putlocker, sockshare, 180uploads, novamov, movshare, videobug, billionuploads
 
Unabidi pia uangalie ukiupload hizi movie,wewe kama uploader unapata faida gani? Wenzio wanaoweka for example torrents hewani wanamake money through Ads...

"If you are good at something, Never do it for free"
 
Hv kuzipeleka kwenye ma torrent je? Au kule haifai?
Hii ikitokea itaanza kuwa mchezo wa kilasiku. Watu kibao wataanza kuupload movie za Tanzania through torrents. Itafanya mastaa wa Bongo movie walalamike kwa kutumia group zao (awapati kitu kisa movie zinapatikana bure online). Serikali kupitia TCRA itabidi iwaambie ISP kuban access ya torrents + na kuweka sheria kumake it illegal. Kama nchi za ulaya maana inaumiza soko. Kutusababishia matatizo watu kama mimi ambao kazi yetu ni kudownload series za nje+movies+games na Applications za computer na android.
 
Bahati mbaya sana mimi sio mpenzi wa Bongo movie, maana huwa nikiangalia hizo movie mara sauti wakati mwingine haisikiki, subtitle za kizungu pale chini spelling error kibao. Title juu ya cover ni ya lugha ya kigeni wakati ndani movie ni ya kiswahili.

Toka lini Producer, Ass. Producer, Editor akawa huyo huyo, kama kuna mtu hajaona basi inatokea bongo movie.
 
teh Teh Teh!! hlo Sio Ww Tuu!! mlinzi Lazma Awe Mshamba!! na Kila Atakayetoka Kijijini Lazma Awe Mwoga Kuvuka Barabara Na Lazma Akifika Kwa Mwenyeji Wake Lazma Aogope Kukalia Makochi.:..

Pili Movie Nzima Kwa Nyuma Kuna Soundtrack Inapigwa Na sometimes soundtrack Inakua Na sauti Kubwa Kupita Sauti!! na Ni Lazma Kila Movie iwe Na Part 1 na Part 2 Na Znakua Zmetoka Kwa Pamoja!!

Hapo Hujakutana Na Hemedi Ameweka Wave Au Kapiga Nywele Zake Dawa!! stori Ikaenda Mpaka Baada Ya Miaka 6 Akawa Vile vile Na Wave Na Madawa Yake Ya Nywele!!! yaan Wenyewe Hawazipi Thamani Movie Zao
 
Ahsante mkuu kwa kunikumbusha hilo.
 
Hii ikitokea itaanza kuwa mchezo wa kilasiku. Watu kibao wataanza kuupload movie za Tanzania through torrents. Itafanya mastaa wa Bongo movie walalamike kwa kutumia group zao (awapati kitu kisa movie zinapatikana bure online). Serikali kupitia TCRA itabidi iwaambie ISP kuban access ya torrents + na kuweka sheria kumake it illegal. Kama nchi za ulaya maana inaumiza soko. Kutusababishia matatizo watu kama mimi ambao kazi yetu ni kudownload series za nje+movies+games na Applications za computer na android.

Siyo rahisi hivyo, hasa kwa Tanzania. Kama Ulaya na Marekani wameshindwa kuipiga chini tpb na mpaka kesho wanatamba,we unafikiri Bongo kuna mtu wa kustop torrents?..HAKUNA! ISP hawezi kunizuia mimi nisishushe torrents, itabidi afanye kazi ya ziada!
 
Ndugu wadau kama title inavyojiexpress yenyewe...kuna mdau mmoja kaniuliza mi nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka, kwani hata sina hata idea ya kueleweka..naomba msaada wa kumjibu na mahali pa kuipata hiyo software for downloading.
 
Ni software ya kudownlod kilakitu unachotaka ilimradi kipatikane kwenye net.kuipata just google it, and then download. Choose the best maana zipo nyingi.
 
Swali
Eti wadau torrent ndo nini?
Jibu
...ni software ya kudownlod kilakitu unachotaka ilimradi kipatikane kwenye net.kuipata just google it,and then download. Choose the best maana zipo nyingi...
Hili jibu siyo sahihi.
Ufafanuzi.

  • Muuliza swali kama angeuliza utorrent nini basi haya maelezo ni sawa.
 
UTORRENT
NI SOFTWARE INAYOKUWEZESHA KU DOWNLOAD VITU VINGI KAMA VILE
MUSICS, GAMES(PS1,PS2,PS3 PC,X-BOX,N.K) TV SERIES, VIDEO,
EBOOKS ETC

download :http://www.utorrent.com
kisha nenda chini "GET UTORRENT"

TORRENT
NI FILE DOGO UNALOTAKIWA KU DOWNLOAD .

JAMBO LA KUZINGATIA NI SEEDERS(WALIO DOWNLOAD) NA LEECH

(WANAO DOWNLOAD).SEEDERS NA LEECH WAKIWA WENGI BASI SPEED

YAKO ITAKUWA JUU.

SOFTWARE HII(UTORRENT) INAFANYA KAZI KWENYE WEBSITES MAALUM

.UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KU DOWNLOAD FILE DOGO MNO KWENYE

SEHEMU ILIYO ANDIKWA "DOWNLOAD THIS TORRENT"

WEBSITES NI KAMA IFUATAVYO:
1. ExtraTorrent
ExtraTorrent.com The World's Largest BitTorrent System

2.Torrentz
http://www.torrentz.com/

3.ThePirateBay
Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site

4.KickAssTorrents
http://www.kat.ph

5. ISOHunt
isoHunt

6.TorrentReactor
Torrent Reactor

7.1337x.org
Download verified torrents: movies, music, games, software | 1337x

8.OnlyTorrents
Free downloads and torrents at Onlytorrents.com

9.BitSnoop
Bitsnoop P2P Search - 20.5 Million Valid Torrents

10.TorrentCrazy
Torrent Crazy - The simplest torrent site

share your knowledge ,is the way to obtain IMMORTALITY
 
torrent ni jinsi ya kudownload files kwa kutumia kitu kinaitwa P2P (peer to peer). P2P ni kuumanisha unacopy files kutoka kwenye computer za wenzako, yaani ziko saved kwa computer za washikaji (peers) tofauti na direct downloads ambazo zinatumia servers.
 
Swali

Jibu

Hili jibu siyo sahihi.
Ufafanuzi.

  • Muuliza swali kama angeuliza utorrent nini basi haya maelezo ni sawa.

...mwal usimdanganye kijana, zingatia hapo nimesema torrents zipo nyingi kulingana na aina ya mashine, au simu au kitu kingine chochote uachotumia. to be specific hiyo u torrent ni maalum kwa ajili ya mac na bit tirrent kawaida, na nyingine nyiiiingi tu...
 
xaxa coni xababu ya kumbishia Mwl.RCT wakat majibu yanajitoshereza mkuu afu who told uuuu! eti kwamba u torrent ni kwa ajili ya mac na bit torrent ni kwa windows za kawaida, mkuu u torrent na bit torrent ni softwre tu zinazomuwezesha user kudownload files mbali mbali(torrent) kama alivyofafanua mkuu Mwl.RCT hapo juu na torrent ni files ambazo zipo shared within different computer user kama alivyo fafanua mkuu leh na Deusdedit Mahunda hapoo.... Ukiniambia eti u torrent na bit torrent zinafanya kazi with different OS mm citakuelewa kabisa mkuu!
 
Last edited by a moderator:
...mwal usimdanganye kijana, zingatia hapo nimesema torrents zipo nyingi kulingana na aina ya mashine, au simu au kitu kingine chochote uachotumia. to be specific hiyo u torrent ni maalum kwa ajili ya mac na bit tirrent kawaida, na nyingine nyiiiingi tu...
  • Ngugu Gefu ni vyema kuzingatia msingi wa swali la mleta mada. Ili kuepuka kujichanganya kama unavyo jichanganya hivi sasa.
  • Soma tena haya maelezo.
Ndugu wadau kama title inavyojiexpress yenyewe...kuna mdau mmoja kaniuliza mi nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka, kwani hata sina hata idea ya kueleweka..naomba msaada wa kumjibu na mahali pa kuipata hiyo software for downloading.
  • Hapo kwenye red analenga kitu kimoja tu "Eti wadau torrent ndo nini?"
  • Hapo kwenye blue pasipo yeye kutambua, amehama kwenye swali la msingi,"Eti wadau torrent ndo nini?", na kuhamia kwenye torrent clients {Ambapo mfano wake ndio: utorrent, tixati, Somud, Vuze nk}
  • Wewe katika jibu lako hapa nakunukuu
...ni software ya kudownlod kilakitu unachotaka ilimradi kipatikane kwenye net.kuipata just google it,and then download. Choose the best maana zipo nyingi...
  • Nasisitiza torrent siyo softwareni faili hebu soma haya maelezo kuhusu torrent nini, na kama haujaelewa hii lugha ya malkia usisite kuomba msaada ili tukupe tafasiri.
​
A torrent file is a computer file that contains metadata about files and folders to be distributed, and usually also a list of the network locations of trackers, which are computers that help participants in the system find each other and form efficient distribution groups called swarms.[1] A torrent file does not contain the content to be distributed; it only contains information about those files, such as their names, sizes, folder structure, and cryptographic hash values for verifying file integrity.{View Source}

  • Hakuna walipo zungumzia kitu software. Hivyo katika maelezo yako ulipaswa kueleza nini maana ya torrent.
  • Kwa kutambua muuliza swali amechanganya mambo mawili ndipo ndugu yetu Deusdedit Mahunda ametoa maelezo yazungumziayo vitu vitatu.
    1. Torrent file nini.
    2. Torrent Client
    3. Torrent sites / torrent search engine
    4. Akaenda mbali kidogo akagusia Seeders and Leechers
Naomba niishie hapa ila huku unakoelekea hapana, nakunukuu
.......... zingatia hapo nimesema torrents zipo nyingi kulingana na aina ya mashine, au simu au kitu kingine chochote uachotumia. to be specific hiyo u torrent ni maalum kwa ajili ya mac na bit tirrent kawaida, na nyingine nyiiiingi tu...
  • Karibu tuelimishane, tukosoane na tuelekezane - Sababu hili ndio lengo la hili jukwaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom